#ntvjioni

Polisi Walijifanya, Wakijua Albert Ojwang' Yuafa? Mahakama Kuu imeendelea kuelezewa safari ya mwisho ya Albert Ojwang' kupitia picha za CCTV. Gari la polisi lilimpeleka Hospitali ya Mbagathi na kuchukua dakika kadhaa kabla ya kumpeleka katika kitengo cha dharura. #NTVJioni
NTV Kenya169,948 views • 17 days ago

Sura Za Wahuni Ol Kalou: Sura za maafisa wa serikali zinaendelea kujitokeza katika video za machafuko ya uchaguzi mdogo wa Ol Kalou juma lililopita. Sasa darubini ya NTV imemtambua afisa mmoja wa polisi anayeonekana akipanga wananchi katika video hizo... #NTVJioni Ruga Eval
NTV Kenya76,124 views • 18 days ago

Wanahabari Wa NMG Wavamiwa Ol Kalou: Wanahabari wa NTV Brygettes Ngana, George Kieru na Fiona Akinyi wamevamiwa, kupigwa na kuporwa kamera na simu za mkononi kwa nguvu walipokuwa wakipeperusha matangazo ya uchaguzi mdogo wa Ol Kalou, Nyandarua. #NTVJioni Fred Muitiriri
NTV Kenya46,856 views • 23 days ago

Matatu Hatari Kama Nyoka Watu watano wamefariki na 12 kujeruhiwa kufuatia madoido, mbwembwe na ushindani uliopo kwenye matatu za kisasa jijini Nairobi (nganya). Matatu hiyo ilianguka ikifanya sarakasi hatari zinazojulikana kama "Manyoka". #NTVJioni Lofty Matambo Labaan Shabaan Elimlim Edung
NTV Kenya56,512 views • 2 months ago











