#ntvjioni

Matatu Hatari Kama Nyoka Watu watano wamefariki na 12 kujeruhiwa kufuatia madoido, mbwembwe na ushindani uliopo kwenye matatu za kisasa jijini Nairobi (nganya). Matatu hiyo ilianguka ikifanya sarakasi hatari zinazojulikana kama "Manyoka". #NTVJioni Lofty Matambo Labaan Shabaan Elimlim Edung
NTV Kenya56,256 görüntüleme • 19 gün önce

Wanafunzi Washukiwa Wakamatwa: Polisi wanachunguza uwezekano wa moto uliowashwa kimakusudi katika shule ya Utumishi Girls Senior School mjini Gilgil uliosababisha vifo vya wanafunzi 16. Wanafunzi wasiopungua 10 wanazuiliwa na polisi. #NTVJioni Fred Muitiriri Ibrahim Karanja.
NTV Kenya43,773 görüntüleme • 26 gün önce

Alcohol Enema Ni Nini? Badala ya kutumia mdomo, vijana sasa wanywa pombe kutumia njia ya haja kubwa. #NTVJioni
NTV Kenya316,910 görüntüleme • 1 yıl önce

#NenoLaSiku: Mpyaro. Maana: Mtu mwenye tabia ya kuongea lugha chafu. #NTVJioni
NTV Kenya265,267 görüntüleme • 3 yıl önce











