#ntvjioni

Polisi Walijifanya, Wakijua Albert Ojwang' Yuafa? Mahakama Kuu imeendelea kuelezewa safari ya mwisho ya Albert Ojwang' kupitia picha za CCTV. Gari la polisi lilimpeleka Hospitali ya Mbagathi na kuchukua dakika kadhaa kabla ya kumpeleka katika kitengo cha dharura. #NTVJioni
NTV Kenya169,948 次观看 • 16 天前

Sura Za Wahuni Ol Kalou: Sura za maafisa wa serikali zinaendelea kujitokeza katika video za machafuko ya uchaguzi mdogo wa Ol Kalou juma lililopita. Sasa darubini ya NTV imemtambua afisa mmoja wa polisi anayeonekana akipanga wananchi katika video hizo... #NTVJioni Ruga Eval
NTV Kenya76,124 次观看 • 17 天前

Matatu Hatari Kama Nyoka Watu watano wamefariki na 12 kujeruhiwa kufuatia madoido, mbwembwe na ushindani uliopo kwenye matatu za kisasa jijini Nairobi (nganya). Matatu hiyo ilianguka ikifanya sarakasi hatari zinazojulikana kama "Manyoka". #NTVJioni Lofty Matambo Labaan Shabaan Elimlim Edung
NTV Kenya56,512 次观看 • 2 个月前











