#ntvwikendi

Runda, Karen Zaongoza Kwa Floraidi Mitaa ya Runda na Karen inaongoza kwa visima vya maji yaliyo na viwango vya juu zaidi vya Fluoride. Nairobi pekee ina visima vya maji 18,000. Floraidi inatambulika kwa kubadilisha rangi ya meno na kuwa hudhurngi. #NTVWikendi Nicholas Wambua
NTV Kenya88,301 views • 1 month ago

Ruto Apumua, Kindiki Ajitoa Mhanga Rais William Ruto ameanza kuonekana kujiondoa kimkakati kwenye mapambano ya kisiasa naye naibu wake, Profesa Kithure Kindiki, akizidi kuchukua nafasi muhimu katika vita vya kisiasa vya Rais Ruto. #NTVWikendi Fridah Mwaka Lofty Matambo
NTV Kenya96,948 views • 1 year ago

Tumbojoto la Njaa Kambini Jeshi: Wanajeshi nchini sasa watalazimika kujigharamia chakula chao cha mchana kuanzia Julai mosi. Hii ni baada ya serikali ya Rais Ruto kusisitiza kuwa itafutilia mbali mpango wa ruzuku ya chakula kwa wanajeshi. #NTVWikendi Nicholas Wambua
NTV Kenya90,927 views • 1 year ago








