#ntvwikendi

Martha Karua: Hatuwezi kusema kuwa fulani ndiye kiongozi wa muungano wa upinzani. #NTVWikendi Lofty Matambo Fridah Mwaka
NTV Kenya50,680 просмотров • 10 дней назад

Runda, Karen Zaongoza Kwa Floraidi Mitaa ya Runda na Karen inaongoza kwa visima vya maji yaliyo na viwango vya juu zaidi vya Fluoride. Nairobi pekee ina visima vya maji 18,000. Floraidi inatambulika kwa kubadilisha rangi ya meno na kuwa hudhurngi. #NTVWikendi Nicholas Wambua
NTV Kenya88,359 просмотров • 3 месяцев назад

Vimbwanga: Gachagua na Kindiki warushiana makombora huku siasa zikipamba moto #NTVWikendi Fridah Mwaka Lofty Matambo
NTV Kenya23,538 просмотров • 1 месяц назад

Ngoma Ya Gladys Wanga Yabadilika Je, chuma cha Gavana wa Homa Bay Gladys Wanga ki motoni? Katika siku za hivi karibuni Wanga, ambaye ameishi kuwa mtetezi wa ushirikiano kati ya ODM na UDA, ameonekana kutojali tena ushirikiano huo. #NTVWikendi David Muthoka
NTV Kenya44,058 просмотров • 4 месяцев назад

Ruto Apumua, Kindiki Ajitoa Mhanga Rais William Ruto ameanza kuonekana kujiondoa kimkakati kwenye mapambano ya kisiasa naye naibu wake, Profesa Kithure Kindiki, akizidi kuchukua nafasi muhimu katika vita vya kisiasa vya Rais Ruto. #NTVWikendi Fridah Mwaka Lofty Matambo
NTV Kenya96,948 просмотров • 1 год назад





