#rememberingraila

Edwin Sifuna: Tulialikwa kirasmi na familia ya Raila tuje tushiriki kumbukumbu ya Baba. Nimekuja kusema asante kwa Baba Raila Amolo Odinga kwa sababu ametulea, akatufunza siasa, akatufunza mambo tunatakiwa tufanye ili kuinua maisha ya watu wetu. #RailaOdinga #RememberingRaila #BabaMemorial #RailaAnniversary
KTN News21,947 次观看 • 1 个月前
没有更多内容可加载
