#tajirilakihaya

#TajiriLaKihaya Ukiifaham historia ya ‘VALENTINE’ unaweza usiwahi hata kuitamka maishani mwako….
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿72,133 görüntüleme • 3 ay önce

#TajiriLaKihaya Hii VIDEO iwafikie WASAGAJI na WASIMBE wote Mliomo Wasap Group la LEO PUB MJINI MWANZA 😅
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿121,512 görüntüleme • 11 ay önce

#TajiriLaKihaya Hii Video naitunza hapa… NitaRepost na KuQuote Exactly 2yrs from now… 16/7/2027!
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿98,971 görüntüleme • 10 ay önce

#TajiriLaKihaya imemchukua BONI YAI dakika zisizo zidi 5 kusambaratisha PRESS zaidi ya saba za G55!
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿101,040 görüntüleme • 1 yıl önce

#TajiriLaKihaya ALLAHU AKBAR🙏🏽 Leo Mlinzi Wangu MAASAI Amesema anataka Kuslimu awe Muislamu… Amesema; kwanza kabisa Alivutiwa na Jinsi Nlijenga MSIKITI Nyumbani Kwangu, Pili kavutiwa na Jinsi familia Yangu Inahifadhi Swala Tano kila siku kuanzia watoto,Mke hadi watu wazima. Kavutiwa na UKARIMU wetu na UPENDO tulionao Kwa majirani zetu,ndugu,jamaa na marafiki! Mambo Haya na mengine mengi yalimfanya aanze kuufuatilia uislamu Kwa ukaribu Kwa takriban miezi nane sasa na leo hii KAAMUA KUSLIMU RASMI. TAKBIIR🙏🏽🙏🏽
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿53,532 görüntüleme • 6 ay önce