Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
🥑🥑🥑🥑🥑👌! 👊🏼!
90,074 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
11 Yorum

Halima hicho unachokisema ningekuona Tukuyu na Mbeya kwa ujumla Maana hata chai Wanyaki lazima kuwe na parachichi pembani. Ukienda Del Cafe pale Mafiati ukiagiza cappuccino inakuja na parachichi na bado rafiki yake @IMwakanenile anaitwa Macrine ikifika saa 10 anaenda gym 😃

- All I Knew

Ninamaparachichi muheshimiwa, kilichobaki ni sokoo tu

Wanasema soon utatangazwa kwenda kwa chama cha mazezeta Please ukikwama kabisa nenda kwa mzee wa ubwabwa kwa kila mtanzania 😉

Halima una saut tamu

Basi kilimanjaro ingekuwa hakuna gym station

Good

Ni kweli kabisa.... Hongera Halima

Great

Lovely ❤️

😂😂 Sasa badala uwaelimishe walime na wao waache kuomba watoto wa watu kodi unawaelezea consumption....😂😂, Wambie waende shambani then soko ulaya.
Benzer Videolar
Sensitive content
🥑🥑🥑🥑🥑👩🏻💻
Ari ;✨🦔
57,008 görüntüleme • 1 yıl önce
Sensitive content
🥑📌!! 👊🏼’
Halima James Mdee
11,295 görüntüleme • 1 yıl önce
