Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿ‘€๐Ÿ‘€๐Ÿคท๐Ÿพ๐Ÿคท๐Ÿพ

26,350 Aufrufe โ€ข vor 10 Monaten โ€ขvia X (Twitter)

19 Kommentare

Profilbild von Coco Love ๐Ÿ˜‡
Coco Love ๐Ÿ˜‡vor 10 Monaten

Wapumbavu sana na hawa wanao pinga mabaya wanapenda kuzungumzia mazuri tu,ni wale wanajali Matumbo yao tuโ€ฆโ€ฆ๐Ÿšฎwanajua wakiongea mabaya watamuudhi mama yao nawao kazi shwaaaa stupid.

Profilbild von brother
brothervor 10 Monaten

kama huyu mtu yuko kwenye kitengo cha serikali then ndo maana lazima tuandamane, kwa mawazo ya ivi hapa kuna kuku sio ubongo huu ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œmtu anasema vyombo viwe responsible then anasema visichafue nchi sasa kama mabaya yapo vifanyaje ??? this is a fool of all time na kakingereza kake

Profilbild von Mkulima
Mkulimavor 10 Monaten

Yani Odemba,akikualika kwa mahojiano hakikisha umepiga spirit kwanza (gongo, kisungura, k vant ama kakonyagi) Vinginevyo utaenda kupuyanga puyanga tuu... Hii ni 6, hapana ni 9, hapana ipo kama 6, no ukiigeuza ni 9, namaanisha ni mfanano wa 6. Mamaaae....

Profilbild von mr-wati
mr-wativor 10 Monaten

๐Ÿ–•mpelekee msigwa hicho

Profilbild von MkP๐Ÿ’ช๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
MkP๐Ÿ’ช๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟvor 10 Monaten

Huyu mbena hyu sijui wa wapi aisee, amedhalilisha kabila๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ

Profilbild von Kakakuona
Kakakuonavor 10 Monaten

Huyu jamaa hana taaruma yoyote. Yaani badala ya kujibu maswali yeye ndie anauliza maswali

Profilbild von Pector
Pectorvor 10 Monaten

Hivi huyu msemaji anaelewa tofauti kati ya Nchi,Serikali na Taifa maana namuonaga anavyochanganya kama vile ni kitu kimojaโ€ฆ..au nyie hamjaona hilo..

Profilbild von iยฎockithereโ„ข
iยฎockithereโ„ขvor 10 Monaten

Big fat nothing burger,

Profilbild von Andrew Ogesa Odory
Andrew Ogesa Odoryvor 10 Monaten

I could end the interview, the suit guy is somehow.....

Profilbild von Dr. Jackson Munuo
Dr. Jackson Munuovor 10 Monaten

Can he define what responsible journalism is, beyond reporting the truth and respecting the audience? Hii nchi tulipotea sana tulipo shusha viwango vya kila taaluma tukaanza kuajiri machawa na ndugu tu. Huyu hapaswi kuwa na kazi ya serekali

Profilbild von O
Ovor 10 Monaten

Anajing'ata ng'ata sana

Profilbild von jka1
jka1vor 10 Monaten

This idiot being interviewed, what a lame thinker, amekuja au pia huwa ana angalia taarifa ya habari ya wingereza.. he thinks his answers are smart but his actually very stupid, control freaks and very very ignorant.

Profilbild von Watoto wa Mama ntilie โšก๐Ÿ‡ป๐Ÿ‡ช
Watoto wa Mama ntilie โšก๐Ÿ‡ป๐Ÿ‡ชvor 10 Monaten

Mzee ali panic san kidogo arushe ngumii ๐Ÿ˜ข

Profilbild von Baraka
Barakavor 10 Monaten

Ningependa kuona Gerson anafanya live QnA online na watanzania mbalimbali, si lazima X coz huku hadi VPN ila platform yoyote ile, watu wanauliza maswali anajibu.

Profilbild von Andrew Ogesa Odory
Andrew Ogesa Odoryvor 10 Monaten

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Profilbild von Molla
Mollavor 10 Monaten

Huyu kunguruu kabisa anazunguka kama simba na yanga odemba hapana sema ukweli

Profilbild von MANSAMUSA
MANSAMUSAvor 10 Monaten

Nimesikia eti vyombo vya amari vya marekani๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Profilbild von The People of Zanzibar
The People of Zanzibarvor 10 Monaten

Kwa lugha hizi za vitisho kwa waandishi wa habari, vijana ni muhimu kuwaondoa leo hii.?

Profilbild von Cwry
Cwryvor 10 Monaten

Hovyo kabisa๐Ÿšฎ

ร„hnliche Videos