Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
🤔🤔🤔🤔🤔👀👀🤷🏾🤷🏾
26,350 görüntüleme • 10 ay önce •via X (Twitter)
19 Yorum

Wapumbavu sana na hawa wanao pinga mabaya wanapenda kuzungumzia mazuri tu,ni wale wanajali Matumbo yao tu……🚮wanajua wakiongea mabaya watamuudhi mama yao nawao kazi shwaaaa stupid.

kama huyu mtu yuko kwenye kitengo cha serikali then ndo maana lazima tuandamane, kwa mawazo ya ivi hapa kuna kuku sio ubongo huu 🙌🙌mtu anasema vyombo viwe responsible then anasema visichafue nchi sasa kama mabaya yapo vifanyaje ??? this is a fool of all time na kakingereza kake

Yani Odemba,akikualika kwa mahojiano hakikisha umepiga spirit kwanza (gongo, kisungura, k vant ama kakonyagi) Vinginevyo utaenda kupuyanga puyanga tuu... Hii ni 6, hapana ni 9, hapana ipo kama 6, no ukiigeuza ni 9, namaanisha ni mfanano wa 6. Mamaaae....

🖕mpelekee msigwa hicho

Huyu mbena hyu sijui wa wapi aisee, amedhalilisha kabila🚮🚮

Huyu jamaa hana taaruma yoyote. Yaani badala ya kujibu maswali yeye ndie anauliza maswali

Hivi huyu msemaji anaelewa tofauti kati ya Nchi,Serikali na Taifa maana namuonaga anavyochanganya kama vile ni kitu kimoja…..au nyie hamjaona hilo..

Big fat nothing burger,

I could end the interview, the suit guy is somehow.....

Can he define what responsible journalism is, beyond reporting the truth and respecting the audience? Hii nchi tulipotea sana tulipo shusha viwango vya kila taaluma tukaanza kuajiri machawa na ndugu tu. Huyu hapaswi kuwa na kazi ya serekali

Anajing'ata ng'ata sana

This idiot being interviewed, what a lame thinker, amekuja au pia huwa ana angalia taarifa ya habari ya wingereza.. he thinks his answers are smart but his actually very stupid, control freaks and very very ignorant.

Mzee ali panic san kidogo arushe ngumii 😢

Ningependa kuona Gerson anafanya live QnA online na watanzania mbalimbali, si lazima X coz huku hadi VPN ila platform yoyote ile, watu wanauliza maswali anajibu.

😂😂

Huyu kunguruu kabisa anazunguka kama simba na yanga odemba hapana sema ukweli

Nimesikia eti vyombo vya amari vya marekani😁😁

Kwa lugha hizi za vitisho kwa waandishi wa habari, vijana ni muhimu kuwaondoa leo hii.?

Hovyo kabisa🚮
