Loading video...
Video Failed to Load
๐๐๐๐๐๐๐
27,935 views โข 3 months ago โขvia X (Twitter)
31 Comments

Sema hii siku alilewa sana.Mama muuza alizidisha kipimo

Alitia aibu kinoma! Unapiga vyomba halafu unaenda kwenye mkutano!๐๐

Kitu opposition politicians wanatakiwa kujua you canโt trust CCMโฆ.Itโs like believing Natenya-hu can grant freedom to Palestinians

Kabisa! Jamaa alipiga vyombo kutuletea matango pori

Alipoenda gerezani akiwa mpambanaji wa haki akatokea kuta za ikulu akiwa chawa Mama Kizimkazi...

Alipiga "mtindi" wa nguvu sana siku hiyo. Ulimi wenyewe ni mzito balaa ! Mwamba bwana,acha apumzike tu; alishafika mahali kawa hana spirit tena. Alitakiwa ajivunie kuona vijana aliowalea na kuwakuza wanaendelea kusimamia CDM. Mwalimu alijenga uongozi hivyo, makada bora kabisa

alifika pei kitaaaambo, hatukusanuka tu

Alikua mwanza,arafu wadau wanasema alikua konyagi nyingi sana siku hyo๐๐๐

Huyu makengeza alituuza sanaa huyu mlevi

Ila mwamba ๐๐๐ alituchezea sana

Hivi kwa nini WALEVI WAKIPOMBEKA POMONI VIINGEREZA VINAKUA VINGI!๐ ๐๐พ

Uyu ndio virus wa chadema adi sasa!

Alikuwa vyombo sana

alf mbn anaongea km kalewa

Kubabake

๐๐๐๐ Mbowe kumanyoko sana.

Hapa jamaa alikuwa vitu

Kubwa la vibaraka ni mbowe

Mbona Voice kama kama naijua

Hapa alikuwa mbwiii

Alikuwa vyombo huyu

Alafu hapa ni kama mzee aliweka 2 kichwani kwanza e? Au wewe unamuonaje?

sema alikua amelewa adi aibu

Hapa Nyagi ilikua Kichwani๐

Nitumie hii @KagsLutty

janja alifika bei ๐

Mbona kha Yuko fyombo?

vyombo sio kabisa...

K vant zilikuwa za kutosha kichwani hii siku seems like.

Lkn MBEGE

Ni aibu.
Related Videos
Sensitive content
๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Girl patriot ๐ ๐บ๐ธ ๐ฆ
861,680 views โข 1 year ago
