ๆญฃๅœจๅŠ ่ฝฝ่ง†้ข‘...

่ง†้ข‘ๅŠ ่ฝฝๅคฑ่ดฅ

๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜‚

27,935 ๆฌก่ง‚็œ‹ โ€ข 3 ไธชๆœˆๅ‰ โ€ขvia X (Twitter)

31 ๆก่ฏ„่ฎบ

Fidelis Mahambo ็š„ๅคดๅƒ
Fidelis Mahambo3 ไธชๆœˆๅ‰

Sema hii siku alilewa sana.Mama muuza alizidisha kipimo

Kagimbo Lutahya ็š„ๅคดๅƒ
Kagimbo Lutahya3 ไธชๆœˆๅ‰

Alitia aibu kinoma! Unapiga vyomba halafu unaenda kwenye mkutano!๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

Tate !Gawaxab ็š„ๅคดๅƒ
Tate !Gawaxab3 ไธชๆœˆๅ‰

Kitu opposition politicians wanatakiwa kujua you canโ€™t trust CCMโ€ฆ.Itโ€™s like believing Natenya-hu can grant freedom to Palestinians

Kagimbo Lutahya ็š„ๅคดๅƒ
Kagimbo Lutahya3 ไธชๆœˆๅ‰

Kabisa! Jamaa alipiga vyombo kutuletea matango pori

UKWELI ็š„ๅคดๅƒ
UKWELI3 ไธชๆœˆๅ‰

Alipoenda gerezani akiwa mpambanaji wa haki akatokea kuta za ikulu akiwa chawa Mama Kizimkazi...

Africa Eugene ็š„ๅคดๅƒ
Africa Eugene3 ไธชๆœˆๅ‰

Alipiga "mtindi" wa nguvu sana siku hiyo. Ulimi wenyewe ni mzito balaa ! Mwamba bwana,acha apumzike tu; alishafika mahali kawa hana spirit tena. Alitakiwa ajivunie kuona vijana aliowalea na kuwakuza wanaendelea kusimamia CDM. Mwalimu alijenga uongozi hivyo, makada bora kabisa

๐ท๐‘Ÿ. ๐‘…๐‘Ž๐‘š๐‘œ๐‘› ๐‘†๐‘Ž๐‘™๐‘Ž๐‘ง๐‘Ž๐‘Ÿ ็š„ๅคดๅƒ
๐ท๐‘Ÿ. ๐‘…๐‘Ž๐‘š๐‘œ๐‘› ๐‘†๐‘Ž๐‘™๐‘Ž๐‘ง๐‘Ž๐‘Ÿ3 ไธชๆœˆๅ‰

alifika pei kitaaaambo, hatukusanuka tu

Martin Sukila ็š„ๅคดๅƒ
Martin Sukila3 ไธชๆœˆๅ‰

Alikua mwanza,arafu wadau wanasema alikua konyagi nyingi sana siku hyo๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Shedrack Richard ็š„ๅคดๅƒ
Shedrack Richard3 ไธชๆœˆๅ‰

Huyu makengeza alituuza sanaa huyu mlevi

Anord ็š„ๅคดๅƒ
Anord3 ไธชๆœˆๅ‰

Ila mwamba ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ alituchezea sana

ULIZA MDUDESOKA ็š„ๅคดๅƒ
ULIZA MDUDESOKA3 ไธชๆœˆๅ‰

Hivi kwa nini WALEVI WAKIPOMBEKA POMONI VIINGEREZA VINAKUA VINGI!๐Ÿ˜…๐Ÿ™Œ๐Ÿพ

Chelsea ็š„ๅคดๅƒ
Chelsea3 ไธชๆœˆๅ‰

Uyu ndio virus wa chadema adi sasa!

Simba๐Ÿฆ ็š„ๅคดๅƒ
Simba๐Ÿฆ3 ไธชๆœˆๅ‰

Alikuwa vyombo sana

NyasaJrM๐ŸŽ™ ็š„ๅคดๅƒ
NyasaJrM๐ŸŽ™3 ไธชๆœˆๅ‰

alf mbn anaongea km kalewa

Cyril ็š„ๅคดๅƒ
Cyril3 ไธชๆœˆๅ‰

Kubabake

ULIZA MDUDESOKA ็š„ๅคดๅƒ
ULIZA MDUDESOKA3 ไธชๆœˆๅ‰

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Mbowe kumanyoko sana.

Cleophas ็š„ๅคดๅƒ
Cleophas3 ไธชๆœˆๅ‰

Hapa jamaa alikuwa vitu

Gasper Millanzi ็š„ๅคดๅƒ
Gasper Millanzi3 ไธชๆœˆๅ‰

Kubwa la vibaraka ni mbowe

Dr Uledi ็š„ๅคดๅƒ
Dr Uledi3 ไธชๆœˆๅ‰

Mbona Voice kama kama naijua

Invi Mtanganyika ็š„ๅคดๅƒ
Invi Mtanganyika3 ไธชๆœˆๅ‰

Hapa alikuwa mbwiii

NONI ็š„ๅคดๅƒ
NONI3 ไธชๆœˆๅ‰

Alikuwa vyombo huyu

Noel kumbuaeli ็š„ๅคดๅƒ
Noel kumbuaeli3 ไธชๆœˆๅ‰

Alafu hapa ni kama mzee aliweka 2 kichwani kwanza e? Au wewe unamuonaje?

Baba Voss ็š„ๅคดๅƒ
Baba Voss3 ไธชๆœˆๅ‰

sema alikua amelewa adi aibu

Tondoro ็š„ๅคดๅƒ
Tondoro3 ไธชๆœˆๅ‰

Hapa Nyagi ilikua Kichwani๐Ÿƒ

Immanuel David Urio ็š„ๅคดๅƒ
Immanuel David Urio3 ไธชๆœˆๅ‰

Nitumie hii @KagsLutty

Mwanza Finest ็š„ๅคดๅƒ
Mwanza Finest3 ไธชๆœˆๅ‰

janja alifika bei ๐Ÿ˜„

Daniel Samson ็š„ๅคดๅƒ
Daniel Samson3 ไธชๆœˆๅ‰

Mbona kha Yuko fyombo?

Himself๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท ็š„ๅคดๅƒ
Himself๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท3 ไธชๆœˆๅ‰

vyombo sio kabisa...

Noel kumbuaeli ็š„ๅคดๅƒ
Noel kumbuaeli3 ไธชๆœˆๅ‰

K vant zilikuwa za kutosha kichwani hii siku seems like.

MARTINE GELARD ็š„ๅคดๅƒ
MARTINE GELARD3 ไธชๆœˆๅ‰

Lkn MBEGE

Baba Tunde ็š„ๅคดๅƒ
Baba Tunde3 ไธชๆœˆๅ‰

Ni aibu.

็›ธๅ…ณ่ง†้ข‘