Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

10 Scams in Kenya Right Now

90,929 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)

Комментарии: 11

Фото профиля Alfonce
Alfonce1 год назад

Hiyo ya gari kuambiwa eti funga mlango vizuri nayo imewainifanyikia, na nikaambiwa eti kuna kitu imeanguka ebu angalia kama uko na simu yako. Na ukistep tu chini gari inaondoka, nilifuata barabara lakini nilikuja kujua baadaye eti ni wizi baada ya rafiki yangu kufanyiwa the same!

Фото профиля Llewellyn Ouya
Llewellyn Ouya1 год назад

Yeah hivyo ndio wanafanyanga

Фото профиля UserInterface
UserInterface2 лет назад

Resisting the Cashless Society: 10 Compelling Reasons to Preserve Cash Transactions #money #lifestyle

Фото профиля BΛRΛCK
BΛRΛCK1 год назад

Hii content yako pelekea watu wa ocha kwenu. This is not X content buana.

Фото профиля 𝙾𝚃𝚁 𝚆𝚁𝙻_𝙳⌘
𝙾𝚃𝚁 𝚆𝚁𝙻_𝙳⌘1 год назад

Kuna ya online writing mzee. Unaambiwa create an account. Alafu activate na pesa. Ukisha activate wanakuambia activate to premium to access all jobs. Unafanya kazi ukiexpect ulipwe huoni pesa. Wanakupea excuses eti kazi umefanya ni mbaya. Do corrections zenye hata huoni.

Фото профиля 🇰🇪 GRANARY🇰🇪🇰🇪
🇰🇪 GRANARY🇰🇪🇰🇪1 год назад

Ongea haraka tuko na hasira

Фото профиля SURE 🎷
SURE 🎷1 год назад

Ii content yako bro huku X hiwezi

Фото профиля Agutu Omondi
Agutu Omondi1 год назад

Kuna wale wa kuincrease libido🤣🤣🤣

Фото профиля Llewellyn Ouya
Llewellyn Ouya1 год назад

Scam kubwa na client hawezi complain juu ya aibu

Фото профиля Chebole Mwenyewe
Chebole Mwenyewe1 год назад

Hiyo ya gari nimekipitia. Kumbe hiyo ndo formula

Фото профиля Llewellyn Ouya
Llewellyn Ouya1 год назад

Yeap

Похожие видео