正在加载视频...
视频加载失败
2025 is all about L O V E! #RahaFest #MapenziYanarunDunia
62,133 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
11 条评论

Hadhira inaimba bila kulazimishwa hakuna mambo ya "Siwasikii, Piga kelele" Kweli wewe ni MFALME 🔥

This is the most important documentary of the year... Trump 2024: The World Without Trump

Ulituwakilisha vizuri sana King.. Nimepata kuangalia Some Clips, licha ya fujo zilizotokea, but you did Wonders 🙌

Boss Kwene live performance ni Top notch saana Anatokea mtu kashiba analeta ujuaji sjui nin na nin kama yule Jaji wao ila 😂😂

Nasemaga hii nyimbo itaishi miaka 50 tena baadae. CLASSIC

The live performance was top notch king Kiba keep flourishing King Kiba

Kwa Hizi Live Show Kiba Anabondaaaaaa Haswaaaaaa 🔥🔥🔥🔥

💨 Mziki ni kitu kizuri sana 🔥

Washa tochi peleka kushoto kulia mala mikono juuu 😂😂 king mnyama sana taratbu kama hataki watanyosha mikono wenyewe

Wasaniii wa Bongo mna la kujifunza apa😎

The best live performer on our continent, TOP TOP.
相关视频
Sensitive content
L*O*V*E! 👏😊🥰
(slow) Stacey⁷ ⊙⊝⊜ 💜
26,919 次观看 • 1 个月前
