Loading video...
Video Failed to Load
2M US$ Mbweni.
61,517 views • 1 year ago •via X (Twitter)
11 Comments

Tanzania Real estate ni Scam

A smart man turned $12K into $15M by buying FARTCOIN at $83K market cap. He aped into $ai16z with $3K and is currently sitting on $1.7M realized and $16.6M in unrealized profits. Subscribe now and join 130K+ investors prepping for the next big cycle.

Dalali akifika hatua ya kudalalia nyumba ya B5 naaa.. Watz hapo ndio wanaanza kuona kumbe Udalali ni kazi kama kazi nyingine

Iyo pesa nanunua apartments 2 pale Melrose arch JOBERG na Urai wa SA then nabakia na chenji ya kupuga mishe ya used car from Durban to Dar

Gharama ya nyumba na maneno ya dalali haviendani kabisa: Nyumba ina Bullet Kaona AC chumbani anasema unakunywa zako maji hapo safi kabisa😂😂😂

Hiyo labda atakayeweza kuinunua ni Mwigulu tu

Hii nyumba chino c alisema yake au ?

@mwigulunchemba1 Mkuu wewe ndo mwenye pesa nchini cheki hii

Hyo hela bora nikadake beach house Miami Florida.

Nyumba ya bei hii huwez kuja kupata mteja humu Ukielew kwann Rolex hawadhamin Timu za mpira ndio utaelew kwann hii nyumba huwez pata mteja humu

TZS 32 MILIONI, KITUNDA MAGOLE, DSM Call 0767 991 212
