Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

53,000 görüntüleme • 11 ay önce •via X (Twitter)

34 Yorum

Eng.Blacker profil fotoğrafı
Eng.Blacker11 ay önce

Mashekh mnatukosea san Islam din ya haki, kwa nin isianze haki ifate hiyo amani jibuni kwa hoja na sio kuleta udini, yule mjumbe wa tec hajazungumzia udini tusifikie huko kwenye udini

Jesse_Jayser profil fotoğrafı
Jesse_Jayser11 ay önce

Hakika ni muda nzuri ndugu zangu waislamu kuanzia kuangalia mchakato wa kuwa na uongozi Bora ili kuwa na tamko moja, na sio kuwa kila sheikh anatoa kauli Yake.

The brand wiz profil fotoğrafı
The brand wiz11 ay önce

Wenetu hawajawahi acha ku-disappoint 😂🙌🏾

Director profil fotoğrafı
Director11 ay önce

Kaka sjui nicheke au nifanyeje... Inakuaje mtu anaishi dunia for the length sawa na umri wa hao wazee na bado anakua na ufinyu wa akili namna hiyo??? Sheikh! una overlook maisha ya watu yaliyopotezwa kwa udhalimu wa Samia and Co. ? Afu unawatetea?? Komanyoko zao

Adv. KOROSHO_255 profil fotoğrafı
Adv. KOROSHO_25511 ay önce

Afalaaanek wallahy kmmkee ! Aibu tunaibeba wote hii ndugu waislamu 😁 tumejadili jana tu hapo watakuja hawa @mhdhamad

𝐋𝐮𝐭𝐡𝐞𝐫 𝐀𝐤𝐲𝐨𝐨 profil fotoğrafı
𝐋𝐮𝐭𝐡𝐞𝐫 𝐀𝐤𝐲𝐨𝐨11 ay önce

Reckless… cold declaration of war?

Athman MWINYI profil fotoğrafı
Athman MWINYI11 ay önce

Muhmmad alishatuambia wakati dunia inakaribia kwisha kutakuwa na watu wengi wanohubiri uislam wkati wenye elimu ni wachache kati yao. Jingine ni viongozi wa kiislam kujisogeza katribu na watawala na kutumika kuzima haki. YAMETIMIA.

HAKI KWANZA profil fotoğrafı
HAKI KWANZA11 ay önce

Kwani awa mashekhe KIONGOZI wao nani? Mbona wako wengi 😅😅😅utafikiri dini yao ya vichaa kila mtu anaruka na beat yake 😅😅 apa atakuja shekhe mwingine anaunga tamko la TEC subirini🤣🤣

Jerome Nelson profil fotoğrafı
Jerome Nelson11 ay önce

Kweli kabsa wamchunguze Bwana Kitime lakini siyo Padri Kitima, Kwasababu Padri Kitima ana hoja ya msingi inayotakiwa kujibiwa kwa hoja za msingi, Siyo majibu ya mihemko ya udini yasiyo na muelekeo wowote, af jambo lingine la msingi watanzania tujitahidi kupeleka watoto shule.

HFoya profil fotoğrafı
HFoya11 ay önce

Kwani Kitima ana shida na serikali au uislam?? Haya ni maajabu

afrosafari profil fotoğrafı
afrosafari11 ay önce

Unashangaa kwa nini Wachina hawautaki uislam, wanasema Uislam ni mental illness. Na baada ya kuusoma kila mahali wakiwa kwa asilimia ya kiwango fulani wanakuwa kama machizi

Tumaini Nkinda profil fotoğrafı
Tumaini Nkinda11 ay önce

Haya mazezeta Mungu hatayaacha salama.

Mtoto wa Malika profil fotoğrafı
Mtoto wa Malika11 ay önce

Kwanini mnatumia NENO waislamu ? Unamaanisha Hawa wemetumwa na waislamu ? Tafuteni NENO lingine,hawkilishi waislamu

Silent Whisper profil fotoğrafı
Silent Whisper11 ay önce

Wapi Kitima kaongelea uislam? ..lini ? ... UBWABWA time‼️

Elijah profil fotoğrafı
Elijah11 ay önce

Scape goating - do they support the atrocity because of the religion of the main perpetrator?

NoeL Lukumay profil fotoğrafı
NoeL Lukumay11 ay önce

Lakini Fr alichosema hakina udini ndani yake

Erick Wanyama profil fotoğrafı
Erick Wanyama11 ay önce

Why not investigate their president is it bcoz she's from their religion or what??

hakaido profil fotoğrafı
hakaido11 ay önce

Hata Katiba ya URT hawajawahikuisoma kwamba Tanzania is a secular state!

Linda Johansen profil fotoğrafı
Linda Johansen11 ay önce

Ombeni dunia imchunguze rais samia na sio samia kumchunguza padri Kitima. Akili ndogo haiwezi kuchunguza akili kubwa hata siku moja!

Bamwenga Street Artist profil fotoğrafı
Bamwenga Street Artist11 ay önce

Pumbavu

TUKO KADI profil fotoğrafı
TUKO KADI11 ay önce

Ukipinga mauaji ya Suluhu ina maana umeanza vita na waislamu 😂😂😂😂 Dini ya wauaji imetishia kupigania mmoja wao.

Tanganyika profil fotoğrafı
Tanganyika11 ay önce

Elimu elimu elimu elimu .... kupelek watoto shule ni kuzuri san.

ligendayika profil fotoğrafı
ligendayika11 ay önce

Wachunguze TEC sio Dr. KITIMA. Hawa vipi. Wakristo tumekaa kimya mnatufuatafuta si mfanye yenu.Wenzenu wameongea wamemaliza nyie kila siku matamka juu ya TEC yule aliesema atatukata vichwa mbona hamsemi akamatwe yaani mnaonyesha namna gani nyie ni vilaza.Jibuni hoja sio kutishia

james jerome profil fotoğrafı
james jerome11 ay önce

Kitima ameleta udini upi??

Rugu kwetu, profil fotoğrafı
Rugu kwetu,11 ay önce

Simama alijibu jana au wameona hajamalizia vizur hawa watu wasipodhibitiwa wanaspeed ya ngiri kinyeo juu kutuingiza kwenye udin kitima hakutaja dini ya mtu bhana

bAdO buku ifike Milioni🤪 profil fotoğrafı
bAdO buku ifike Milioni🤪11 ay önce

wafuga majini

Collins profil fotoğrafı
Collins11 ay önce

Hizi kondomu zake anazotumia kusambaza udini

Goons rattler profil fotoğrafı
Goons rattler11 ay önce

This is reason enough for the majority religion in Tanzania to never allow these barbaric minority near power. Kichwa cha Kuku hakistahimili kilemba. There isn't a country in their led by their name that is peaceful/ democratic.

Nakkizze profil fotoğrafı
Nakkizze11 ay önce

Akamchnguze shehe anayeataka kukata watu vichwa njaa mbaya mtakufa vibaya kama sharifu majini

website profil fotoğrafı
website11 ay önce

Haya sasa, yeye na wao wanazungumza udini

Talk Tome profil fotoğrafı
Talk Tome11 ay önce

Hii kazi ya sana

McWenceslaus profil fotoğrafı
McWenceslaus11 ay önce

Wanasema, "Siku unayopanda mbegu, sio siku utakayokula matunda yake."

Putin's Son profil fotoğrafı
Putin's Son11 ay önce

Shuleeeee

BAHASHA FC...aka,UTOPOLO. profil fotoğrafı
BAHASHA FC...aka,UTOPOLO.11 ay önce

Mtihan sana aisee hawa mashekh

Benzer Videolar