正在加载视频...

视频加载失败

A few moments later!!😂😂

92,404 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

Rusianboy💱 的头像
Rusianboy💱1 年前

Dunia imejaa watu makatili sana.Dunia ina wakatishaji tamaa waliobobea na wa kimataifa. Usipojitathimini mweenyewe jiandae kutolewa nje ya mstari. Hakuna mwenye haki ya ku jugde mtu na hakuna aijuaye kesho. Believe in you

Masaki 的头像
Masaki1 年前

🤝

Rock Paper Sizzle 的头像
Rock Paper Sizzle2 年前

💪 Merica, we're taking it back. 💯 You like Trump, you know it, time to show it. ✅ T's for Trump here:

𝐉𝐮𝐥𝐢𝐮𝐬 的头像
𝐉𝐮𝐥𝐢𝐮𝐬1 年前

Comment ya salama ilikuwa ni kweli kabisa na perhaps baada ya trial and error nyingi ndio amekuja jipata kwenye version hii ya masozi

Mwananchi wa Kawaida 的头像
Mwananchi wa Kawaida1 年前

Kumbe huo wimbo wa masozi umeimbwa na mwanaume, Jesus?

Immanuel 的头像
Immanuel1 年前

Hapo jaji ni mmoja tu, hao wengine hakuna kitu wanajua kuhusu mziki

Xtona 的头像
Xtona1 年前

Ila hawa bss hawana sikio la mziki, cheki hata washindi wao, hamna kitu

Ozabanga 的头像
Ozabanga1 年前

Ma Jaji wa BSS isipokuwa MJ, Ritha na Salama hawana jicho la kubaini talent ya mtu hasa akiwa underground.Ritha yupo hapo kwasababu ndio mwenye mchango Salama kwa sababu ya ukax Tu.

mkapa 的头像
mkapa1 年前

Tusipindishe maneno huyu dogo hajui kuimba

Philosopher Mswahili 的头像
Philosopher Mswahili1 年前

Nadhani Hawa ni watu wawili Tofauti na majaji walikuwa sahihi .Mtu amekuja na style ya kubana sauti mpaka anakuwa mdada unamfanyaje?..Nadhani walimsaidia kuwa msanii bora kwa kile walichofanya

makota1809 的头像
makota18091 年前

Hii ngoma ni nagwa...muziki mzuri Sana🙌..my favourite of all time

相关视频