Loading video...
Video Failed to Load
A teacher teaching her students how to dance
14,107 views • 11 months ago •via X (Twitter)
4 Comments

Wazo nisilolitilia maanani: kuanzisha podcast niite Msomi IQ. Jina linaweza badilika. Hili limekuja haraka haraka nikiwa gym. Mission statement: Kataa Fikra Elekezi Core Values: Truth seeking, antifragility, and authenticity. Itafanyikaje: Mostly ni mimi najadili kitabu, a Lindy book obviously. You know my disdain for fast moving consumer books. Wakitokea watu kuongea nao sawa. Pia mara moja moja I call out mediocrity za industry "thought leaders" hapa TZ. Ningetamani shuhuda za washiriki, kama si kuwaongezea maarifa basi waseme: "Shukuru you have improved my bull*t detecting abilities. Nilikuwa naokotwa sana mwanzoni. Sasa naweza tenganisha kati ya Noise na Signal." Hapo podcast itakuwa imetimiza kusudi. Lugha? Kiswanglish. Ni jambo moja kusoma kitabu in English. Ni jambo lingine to relay the knowledge in another language and context. Basically nalenga kuua ndege wawili kwa jiwe moja. Me to imbibe that knowledge, vile vile kuchochea kiu ya mwingine kujifunza maarifa hayo. Should I go for it? 🤔

Wewe ulidanganywa na Shio😂🫵🏾

"Wakurugenzi wa Halmashauri wamekuwa wakitumika mara nyingi kuwabeba wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hatuwataki wawe sehemu ya Uchaguzi wa mwaka huu."

Mbunge anayemaliza muda wake wa Jimbo la Arusha Mjini Mrisho Mashaka Gambo leo Jumatano Julai 02, 2025, amerejesha fomu zake kwenye Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Arusha Mjini, akiomba Chama chake kimpe tena ridhaa ya kutetea nafasi yake ya Ubunge kwa kipindi cha pili Jimbo la Arusha Mjini. Gambo wakati wa kurejesha fomu hizo ameambatana na Mkewe Magreth Muro. Katika Kinyang'anyiro ndani ya CCM mara baada ya zoezi la urejeshaji wa fomu kukamilika hii leo, Gambo anatarajiwa kuchuana vikali na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa huo Paul Christian Makonda pamoja na Makada wengine wa Chama Cha Mapinduzi Arusha, mvuto wa Gambo na Makonda ukikolezwa na haiba za kufanana walizonazo, historia zao katika utumishi- wote wakiwa wamewahi kuwa Wakuu wa Mkoa wa Arusha pamoja na mivutano yao ya hivi karibuni kwenye majukwaa mbalimbali ya kisiasa.
