Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

A Very controversial topic right there!

14,221 просмотров • 11 месяцев назад •via X (Twitter)

Комментарии: 32

Фото профиля 012
01211 месяцев назад

Bado watu hutandika vitanda? Nilidhani ni kwa hoteli tu!!

Фото профиля Omollo Nonchalant
Omollo Nonchalant11 месяцев назад

Kwani unaoza ndio uoge twice?

Фото профиля Vasco Da Gwara
Vasco Da Gwara11 месяцев назад

What do you mean wewe ni mwanamke na hairline inaanza halftime

Фото профиля Anthony maina
Anthony maina11 месяцев назад

Why do you smack your lips with every single word? You are annoying to listen to because of that!

Фото профиля The Cardinal Jones
The Cardinal Jones11 месяцев назад

mwanaume anafaa kuoga 3 times a day,asubuhi macho,lunch mikono na miguu usiku

Фото профиля Billy Omondi🤠🤠
Billy Omondi🤠🤠11 месяцев назад

Some of us can go 3 days without shower The body didn't evolve to be washed

Фото профиля romeo
romeo11 месяцев назад

huyu hata hakai msafi anatuambia nini?

Фото профиля draxler254ke
draxler254ke11 месяцев назад

Wanaume sisi tunafaa kuoga twice a week hatutoi acid kama wao🥴

Фото профиля Kwaru
Kwaru11 месяцев назад

Oyaaah kwa cooperate spaces mko tafteni shrinks muongeee… zingine ni jokes sasa

Фото профиля Lykïm Jöéy
Lykïm Jöéy11 месяцев назад

Kuoga twice a day even everyday is a luxury hatuwezi afford na hii economy ya wantam.

Фото профиля Cyprien, Is Nyamweya
Cyprien, Is Nyamweya11 месяцев назад

Kama siendi kutengeneza pesa siogi. Hii topic ni kama nifike hivi ni ya wamama ayam sorry

Фото профиля maxi
maxi11 месяцев назад

OCD

Фото профиля 收到
收到11 месяцев назад

....na kuweka tissue roll in reverse 😭

Фото профиля Paul Mopao
Paul Mopao11 месяцев назад

Omera hata kuoga maramoja kwa siku wewe ni soga

Фото профиля TOPRIK BIKES ★
TOPRIK BIKES ★11 месяцев назад

Rich people’s problems 😂

Фото профиля Lonesurvivor
Lonesurvivor11 месяцев назад

Hii n maajabuu😂😂😂😂

Фото профиля ohuru isaac
ohuru isaac11 месяцев назад

@grok OCD is which?

Фото профиля Tuma Code
Tuma Code11 месяцев назад

MTU nywele inaishwa time ya kushukwa pekee anatuambia nini,

Фото профиля Kenyans On Discord
Kenyans On Discord11 месяцев назад

You need to bath 1 time in 3 days , alafu Instead of using tshu tumia maji ,

Фото профиля ~
~11 месяцев назад

very legit, ukoiga jioni mbona uoge asubuhi, I mean ume lala tu..unless mambo ingine itendeke its okay

Фото профиля St Pasha
St Pasha11 месяцев назад

Kwani mami ni vikopo na saani?

Фото профиля Archutect®
Archutect®11 месяцев назад

Si uyu akipatana na Mimi anadedi😂😂😂

Фото профиля (Зови меня Ник) 𝒞𝒶𝓁𝓁 𝑀𝑒 𝒩𝒾𝒸𝓀🇰🇪🇷🇺🐤
(Зови меня Ник) 𝒞𝒶𝓁𝓁 𝑀𝑒 𝒩𝒾𝒸𝓀🇰🇪🇷🇺🐤11 месяцев назад

Do you guys still make bed mkishaamka??😳😳😳

Фото профиля Wode Mbaya
Wode Mbaya11 месяцев назад

Ngoja please wait a minute kuna watu wanaoga daily?? Na wengine wanaoga mara mbili kwa siku wueeh kujeni hapa kisima Mt Kenya ndio mjue kuoga huwa mission na ukue mentally prepared ukioga Monday unaanza kupanga vile Friday utaoga na italingana na weather.kujipanguza na kuenda🤔

Фото профиля pingu
pingu11 месяцев назад

Samaki huishi kwa maji na bado inanuka, mwanamme nikajasho

Фото профиля 𝕎𝕚𝕝𝕝𝕪 ×͜×
𝕎𝕚𝕝𝕝𝕪 ×͜×11 месяцев назад

Almost everyone has a friend like this bitch who always thinks she sounds intelligent kwa kushangaa wengine 🤡 Do your thing, no one will stop you but kutaka wengine wakuwe kama wewe is where we draw the line 🚮

Фото профиля Mashaa
Mashaa11 месяцев назад

Aaaaaaaiii mm nayo naoga once per day nkioga asubui jioni siezi, nkioga usiku morning nkutoka tele🤣

Фото профиля Mkenya Mzalendo
Mkenya Mzalendo11 месяцев назад

Huyu ni typical Melancholic... Akiishi na Sanguine si atachizi... Needs to just do a basic Google search & learn on the various temperaments

Фото профиля Diawara
Diawara11 месяцев назад

What do you mean haupendi makucha zako real?

Фото профиля Dr Strangle🇰🇪
Dr Strangle🇰🇪11 месяцев назад

its not that serious bana.

Фото профиля George lazi
George lazi11 месяцев назад

OCD.

Фото профиля Mswatii
Mswatii11 месяцев назад

Mi nilioga siku walizika baba

Похожие видео