Loading video...
Video Failed to Load
Aaahhh kenyans
111,328 views • 1 year ago •via X (Twitter)
11 Comments

This is where people need to have nyaunyo in the cars and show some leadership, a few incidents and people will learn. Human beings respond better to pain.

space meets sound

The same thing happened in Rongai jana...the stand off was for almost 30 minutes...two vehicles from each side na njia ni konde, so hakuna group ilikuwa inataka kurudi nyuma and pave way ...4 mad drivers walifunga barabara

Utaona mjinga anatag @ntsa_kenya ......yaani watu hukuwa mafala tu.

Mafuta gani uyu anataka kusave kujustify kuruka kwa jam?

Thats very easy ...zima truck weka gear weka parking brake wacha i take a nap...am too tired to deal with foolish demio drivers.

Wee mzee nko hapa mbele hizo fitment ni smooth

Ahsante mzee

Mvua kidogo, wakaacha wametuck in akili kwa kitanda na wakatoka .

Leo apo North Airport past KQ Mat imeoverlap ikaingiza watu kwa drainage..Guys were escaping through the windows then ladies were just there screaming😭😭..Kenyans are impatient!!!

Me nikuwe dere wa hiyo lorry napita ja hako kadudu si niko na right of my way

