Loading video...
Video Failed to Load
Abdul angeuawa angesema kifo ni kifo
62,159 views • 2 years ago •via X (Twitter)
10 Comments

Na kauli za Rais ndizo zimehalalisha utekaji dhahiri

Mwaipaya umeongea mpaka Mwili umenisisimka,kama Taifa hawa Maccm na Polisi wao wanatupeleka pabaya sana,hawa Watu ni Makatili sana,sikutegemea kama Mama yao angeongea maneno Hatari na yatakayosababisha kushamiri kwa Utekaji na Mauwaji

Watu wakiongea Ukweli kama huu wa kupinga Watanzania Kuonewa,Kutekwa na Kuuwawa hukawii kuskia Twaha katekwa na Kuuwawa,maneno kama haya ya Kijasiri na Kizalendo yanayowapambania Watanzania mnatuaminishaje kama Watekaji sio Polisi wanaotumwa na Maccm

very good presentation

Hii nd tifauat ya vijna wa chadema na ccm Vijna wanaupeo wanajielewa wanajua wanahitaji nn .vijna jasir na wenye ufahana na sio wapiga makofii 👏.. Mungu Linda vijna wetu wa chadema na wote wenye kuioenda nchi yao Amina

Umeongea kwa hisia na lugha nyepesi, ata mtu menye uelewa mdogo ukimsikilizisha / kumwonyesha hii anapata muda wa kutafakari

Dah

Umeongea kwa hisia sana Kaka 👏👏👏

Umemaliza Kiongozi na kikao kikaishia hapo. Auwawe Abdul na Wanu tusikie kifo ni kifo tu. @SuluhuSamia ni motherfucker kabisa kabisa. Samia Hawezi. Hatoshi na Hafai kuwa Rais wa Tanzania.

Well done ✅
Related Videos
Kugongewa ni constant na lazima kama kifo. Sema kimeumana 😂😂
Top Patriot 🇰🇪
223,572 views • 1 year ago

