正在加载视频...

视频加载失败

Abdul na mama yake #TanzaniaMassacre

32,981 次观看 • 8 个月前 •via X (Twitter)

0 条评论

暂无评论

原始帖子的评论将显示在这里

相关视频

‼️🚨PROPAGANDA ZA KIPUMBAVU HAZIWEZI KUSAFISHA TUME‼️ Shida ya nchi kuongozwa na watu wenye IQ ndogo ni dhahiri! Leo Abdul na genge lake wanatumia fedha wanazojichotea kupitia dili za mafuta kuandaa “series” za kuandaa kisaikolojia watanzania kupokea ripoti ya tume baada ya kuambiwa kuwa Tume haikubaliki! Hii ni project kabisa! 🙄 Nawakumbusha mafedhuli kuwa mtaangukia pua kama ambavyo mliangukia pua kwenye uchaguzi feki! Tunakumbuka sinema kama hizi kabla ya uchaguzi feki mkapeleka watu wa kulipa na wa TISS mkawavalisha kama Bodaboda waongee eti sijui Mama mitano tena na eti tunataka uchaguzi! Matokeo yake? Oktoba 29 hata 1% ya watu hawakwenda kupiga kura na hii ipo ktk ripoti ya waangalizi wa uchaguzi wa SADC na AU Watu walipoenda kuandamana kupinga mkaanza mauaji mkaamua muwaue hadi sebuleni watoto, akina mama, vijana - mmeua SANA! Sasa leo mnaleta UPUMBAVU huu wa ripoti ya Tume! Acheni ❌ maana ripoti mnayoichakachua haitakubalika! Je mmejiandaa kuua tena? Semeni tujue kuwa hamjaridhika bado na damu! Na msifikiri watanzania wanaogopa - wamekaa na mengi kifuani, mkija kutoa ripoti ya kumsafisha Mama yake Abdul na vikosi walivyoviona wanaua ndugu zao hali itazidi kuwa mbaya zaidi! Eniwei hizi series mkiziona wapendwa mzipuuze! Wameandaa bots zao huko wazipigie chapuo, wanahonga hadi viongozi wa dini na watu “maarufu” waongee upupu, msishtuke! Ripoti ya Tume imepoteza maana baada ya kuahirishwa kusoma na kuongeza muda kisanii na tunajua kuwa madhulmat wanaendelea kuisuka upya! Mzee Chande naye anajua anatueleza kwa code 😅👊🏽 Swali: Hivi Abdul na mama yake ni nani kwenye hii nchi hadi wanaume wa Tanganyika kwenye mfumo mnaufyata na kufuata maelekezo HARAMU? Ina maana wote mmekosa ujasiri wa kukataa upumbavu na kuokoa nchi?! #SamiaMustGo #TanzaniaMassacre #TutaelewanaTu

Maria Sarungi Tsehai

24,738 次观看 • 3 个月前