正在加载视频...

视频加载失败

AC yaleta kasheshe Arusha.

49,152 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

10 条评论

Michaelson 的头像
Michaelson1 年前

Hivi hili lilipaswa kuwa swala la kufokeana hivyo? Au mimi ndio sijui, si suala la kurekebisha tu? Kwanini wagombane yaani?

THE ANCESTOR 的头像
THE ANCESTOR1 年前

Kama vile hawana vikal vya CMT😁😁 na wote wapo ofisi moja ya Halmashauri😄

M A G I R I 的头像
M A G I R I1 年前

Watatoana damu.

ELECTRICAL POSTS AND TIPS⚡️⚡️ 的头像
ELECTRICAL POSTS AND TIPS⚡️⚡️1 年前

Umepiga 3/4yrs Umeme Pale Mjini DIT unakja kuchabangwa mbele ya Camera sema Eng kaogpa ila..io AC itafungwa fresh Tu ukuta utabolewa kimasta pipe za AC zitatolewa kwa Nje kimasta na outdoor yake Umeme utafika Tu kwenye io AC kwakuwa washapga rangi waweke truncks. .

rogega 的头像
rogega1 年前

Changamoto ninayoiona hapa wataalamu wengi hawajui chain of communication. Kama michoro iliyopitishwa wizarani haina AC anasema AC hamna kwanini hamna anaeleza sababu zake za kitaalamu na kama kuna uhitaji anasema atawekaje. Sema nae inaonekana hana taarifa nyingi kuhusu anachoki

Mzalendo 的头像
Mzalendo1 年前

Sijawahi kuona DED wa hovyo hivi.... Hapo kama hajui anajivua nguo mwenyewe...hao watu wote wako chini yake..alifaa awaite ofisini wajadiliane au kufokeana huko ofisini... Sasa kama wasaidizi wako hawako sawa kwann msikae ofisini kuona changamoto ninini Hovyo sana

Thedreamer UX/UI 的头像
Thedreamer UX/UI1 年前

Siku izi kila mtu akiwa mbele ya camera kila mtu ni expert hasa hawa viongozi wetu...wajifunze kuheshimu taaluma za watu ..itasaidia sio kila mtu anaweza anaweza kuongea mbele ya camera mana sio kila mtu ni mtu wa siasa 🚮🚮🚮🚮

Damasen 的头像
Damasen1 年前

Tunaposali tukumbuke kumuomba Mungu atujalie hekima, kwa mtu mwenye hekima ili sio swala lakumfokea mtu tena mbele ya camera Imagine unamuona mamako au dadako kuna mtu yuko ananyoshea kidole kwenye hadhara afu anamwambia unajielewa kweli kisa AC that feelings

Olvaris Lasway (Mr Drip💧) 的头像
Olvaris Lasway (Mr Drip💧)1 年前

Tukiendelea kukubali viongozi kufanya udhalilishaji wa watumishi Kwa sababu ya political gain, tutaua taaluma na ufanisi wa kazi Hii sio sawa

B fenanders 8 的头像
B fenanders 81 年前

Ila ni uzembe na mazoea ya kazi , wakati Kuna watu wana fvyeti wako nyumbani shubaamiti

相关视频