Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Acha watu waongee
25,041 просмотров • 11 дней назад •via X (Twitter)
Комментарии: 6

Misiwa C Abedinego PhD11 дней назад
Yupo sawa. Lugalo pale ukiwa unaelekea tegeta baada ya kupita kituo cha supa mbele kidogo bila kua makini mnakwanguana wa kulia na kushoto

Hilary Mbowe11 дней назад
Kwahiyo anahisi kujenga barabara ni kuleta hisia na matamanio? Taaluma za watu zinatumika mnaleta uswahili

Damian 🇹🇿🇹🇿11 дней назад
Akajaribu yeye kujenga hiyo project aone, anahisi wakandarasi hawana akili😂

Mr. Sandblasting11 дней назад
Anahisi engineering ni makalio😁.

BekaBOY 0.211 дней назад
Wanataka mpunguze speed labda 😂😂

Arafat Abduly11 дней назад
Au basi tu
