正在加载视频...

视频加载失败

19,485 次观看 • 2 年前 •via X (Twitter)

7 条评论

Joseph De (Leopard )🥰🥰 的头像
Joseph De (Leopard )🥰🥰2 年前

Hakuna mtu aliyelalamika kisa nyimbo za CHADEMA, hiyo ni mbinu ya kuharibu uhusiano wa chadema na watu wengine wapigania haki katika Taifa letu. Huo ni uchonganishi.

Anord 的头像
Anord2 年前

Kaka tafadhali niulize, nimeona kuna sababu eti CDM wamelalamika kipigwa wimbo wao hapo, sidhani CDM wanaweza, kwa hili kwani wao ni sehemu ya mapambano tena pakubwa zaidi, je hii itakuwa ni sababu ya kidhibiti jitihada hizi, kama ni hivyo tutajinasua vipi wenye sauti ndogo zaidi

japhet mmbaga 的头像
japhet mmbaga2 年前

Popote kambi, Elimu tunaenda kuitolea Nyumbani, tutapiga mdundiko, ingawa CDM hawaezi shtakia kwa Polisi eti wimbo wao umepigwa, CDM na Polisi hawajafikia aswahiba huo, tukutane nyumbani tuzungumze jambo letu kuhusu Bandari, ngorongoro, loliondo na mengineyo.

TEELEE 的头像
TEELEE1 年前

New song called Life #rap #music

Charlie Brown 的头像
Charlie Brown2 年前

Hii inaitwa going back to my roots.

Mtunza Hazina😉 的头像
Mtunza Hazina😉2 年前

💪💪💪💪 Aluta continua mwamba👍

Enock Daf 的头像
Enock Daf2 年前

Yahp.

相关视频