Loading video...
Video Failed to Load
Afande aongezewe cheo ๐๐๐
18,787 views โข 29 days ago โขvia X (Twitter)
9 Comments

THE BISHOP29 days ago
Achapwe ya tatu, anafaa

its Rebecca28 days ago
@mkwasembala Hata wanawake tunaoendautulivu

Shamba Boy29 days ago
Sanamu lake likejengewe pale getini Nyerere Square- Dodoma

Kelvin28 days ago
Huyu aongezwe nyota,amezungumza ukweli.

BekaBOY 0.228 days ago
Ilikuaje akawa police huyu?

TYMG, The almighty ๐๐ฟ28 days ago
Sio polisi wa kawaida Ni polisi wa dawati la wakina mama Nani anajua zaidi yake ?

BekaBOY 0.228 days ago
Aisee anaakili

TYMG, The almighty ๐๐ฟ28 days ago
Sanaaa

Mwl.Zephania Kapinga โญ๏ธ28 days ago
Ukute yeye hajaolewa maana ukiwa nje ya mchezo unaona sana makosa๐๐
