Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
AFCON FINAL 2025 - Maroc Maroc 🇲🇦🇲🇦🇲🇦 vs 🇸🇳🇸🇳🇸🇳 Senegal
53,488 Aufrufe • vor 9 Monaten •via X (Twitter)
29 Kommentare

Ukutoka huko uje useme umefikisha tifari ngapi kwenye uwanja pale jangwan

Mwamba yupo Morocco wengine wanagombana Kmc maisha ni kupanga na kuchagua

Safi sana mkuu ukiwa kwenye majukumu yako hayo usisahau kucopy maujanja mengi njoo nayo kwa mabigwa wa vikombe vingi tz; asante sana kwa nguvu yako na GSM power 🔥🔥💪

Boli ni maisha,boli ni Fursa,ukiwa mtu/kiongozi wa boli,unakuwa kwenye nafasi nzuri sana yakujifunza mambo mengi kwa watu tofauti tofauti unaokutana nao,Boli hukusanya watu wengi kwa pamoja na kuwa kitu komoja bila kujali asili zao.

Moo hakuepo

Tunazisubiria goli 3 za Senegal

muheshimiwa si unaona viwanja vya wenzetu? cheki viti vya uwanja huo! unao uwezo wa kushauri nini kifanyike pale uwanja wa Benjamin Mkapa, uwanja ni mzuri ila unahitaji ufanyiwe maboresho yanayoakisi uwanja wa kisasa kwa zama hizi.

Na Yanga yako ikija kuleta dhuruma kama za Morogoro lazima timu zigome

President tafadhali uwe unambeba na mzee wetu Ngungu apate exposure kidogo 🤣🤣🫡

Pamoja,rais🙏

We jamaa na mapicha yani kama dem, tumeshokuchoka.

caamil speedo

Senegal wamefanya kama Yanga SC tulivyowagomea TFF kipindi kile Simba SC inaleta mizenguo

Kiongozi makini, ungemrudisha aucho tena

You stupidity enough

Tuletee sadio mane pale Jangwani muheshimiwa Raisi

Janja naomba BUKU JERO

Ushambaaaa

We nae peleka huko siasa zako za kikumanina

where is this anyone..!!?😍

Atleast umeuliza speed anakuja lini Tz

Did @ishowspeedsui @IShowSpeedHQ finally answer you when he is coming to #tanzania ?

Kwa hiyo dogo unampostia nani

Sawa bwana mdogo tajiri wa wananchi. Ikikupendeza hata Sadio mane awe mwananchi tuwavuruge mikia 🤣🤣😅

Hongera Rais. Keep it up

Hongera kwa kutuwakilisha rais wetu

He just invited Speed to Tanzania 😂🙌.

Nimekuona kwenye stream ya Speed mzee

Mweshimiwa simba wame draw bhn

