Africans invading Europe.
@siadevinci46K followers
16,957 views
16 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@abubakarirama2
Ulaya wanatengeneza Vita Africa wakijua fika Waafrika watakimbilia Ulaya , Na Ulaya itafaidika na Cheap Labor force from Africa na huku wakiiba Rasilimali za Waafrika huku Africa. Two in One... Mission complete 💯
3 likes

@kelan_pinna
Hii itakuwa Spain tu
1 like

@siadevinci
Yap
1 like

@kelan_pinna
Hapo unamwagwa tu pa kulala na kula utajua mwenyewe

@DecemberObby
Makomando wamefika salama
1 like

@ChurchilEddie
Hizi ni reversed roles. Wazungu nao waliinvade afrika miaka hiyo.
1 like

@zoomuu100
Kuna Huyuu katupiga MIDDLE 😂😂
1 like

@AbdoullrahmanY1
Duh ncheche wallah 🤐

@AlexisKapaya
😂😂 ila wabongo bhana wanafurahia kwenda ulopa kwa style hii?

@mfinanga_j
@GetVideoBotOld

@Palilo11
Waafrika waligundua bara la ulaya 2022😂

@Kuntahkin
Hilo dole sasa

@robert_mgabe
Yaan chombo wamekiacha chenyew wangekiuza hata kwa bei chee au wangekikifunga sehem 🤣🤣

@kaunda_Suti_
Dah inasikitisha sana aisee.

@mfinanga_j
Hahaha...Dah, life🤔😰

@iamsaadmemon
European invaded Africa now it’s there turn to take revenge