Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Aisee chuma ya mizigo hii.
48,688 görüntüleme • 2 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

"minding my on business"💨

Haya magari hayana fire extinguisher au driver na konda wake hawajui kutumia?

Hizi chuma inabidi ziwe zina ile mitungi mikubwa ya kilo 25 ya fire extinguisher

hapa sasa kama ulikuwa unatuma mzigo wa 5M ulipopeleka ukaulizwa thaman yake ukasema 50K ili ulipe bku ten yakusafrisha ,,hapa akiri itakuwa inawaka moto

Ni Satco au Ratco??

@PotguyArts mzigo wa A1 wa Laki mbili umeandika bei yake 20000 😂

Hizi gari hazina fire extinguisher,maana huo Moto unavoanza sio mkubwa kiivo

Haya mabasi yamekuwa kama Nissan DUALIS

Dah,hivi kwanini bus zinaungua sana siku hizi?? Hivi kwenye mabus ndio hawanaga hata mitungi ya kuzimia moto??

Dah! Walisahau mshumaa huko au?
Benzer Videolar
Zenji dakk 10 tuu kwa hii chuma
UMOJA WA HAKI ZA MADEREVA@🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇷🇼🇷🇼🥰🙏
69,113 görüntüleme • 1 yıl önce
