正在加载视频...

视频加载失败

Aisee.. SLAA wa CHADEMA? 😭

174,568 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

10 条评论

Tanzania Abroad TV 的头像
Tanzania Abroad TV1 年前

Kosa kubwa lilianzia Dodoma tarehe 12/07/2015 kwenye kumchagua mgombea mwenza Nchi hii tumekwisha

Mtanganyika 的头像
Mtanganyika1 年前

Intelijensia inataarifa za mipango ya vikao ila haijui genge la watekaji ambalo limefanya matukio kadhaa tayari. Delusional

JOSSY🏳 的头像
JOSSY🏳1 年前

Af mkuu hii umeionaa😂😂 itoleen hatua hii, askar wetu wanafanya mazoezi kuzuia maandamano, kwa raisi, ila hawafanyi zoezi la kukumata watekaji, na wauaji.

Bubelwa Kaiza 的头像
Bubelwa Kaiza1 年前

Sina tatizo na uwezo wangu wa kung'amua na kuelewa majambo, ila huyu sijamuelewa! Aliyemuelewa aniwezeshe tafadhali. Yaani raia, maaskofu, masheikh, wachungaji, mapadre, walimu na matabibu wote wanalilia hali mbaya ya usalama (insecurity) hapa nchini, halafu Rais wa JMT anazodoa!

M.D (🅨) 的头像
M.D (🅨)1 年前

Mama anajazwa kwenye mifumo ya wahuni kirahisi sana.

Laizer🐐 的头像
Laizer🐐1 年前

Intelegez ya mchongo ulishindwa kujua tuanfamana ngorongoro ww huna lolote tupishe rudi zako kizmkazi

Livingstone 的头像
Livingstone1 年前

Tayari, nchi imeisha hii, kwisha habari!

Tebbe 🫦 的头像
Tebbe 🫦1 年前

😭😭😭 Serikali ya samaki mikono juu

𝗥𝗶𝗰𝗵𝗮𝗿𝗱 𝗧𝘇🇹🇿 的头像
𝗥𝗶𝗰𝗵𝗮𝗿𝗱 𝗧𝘇🇹🇿1 年前

Kumbe iliyoruhusu ni 4R sio katiba tena😃😃😃🚮 Watu hawawajibiki Wanaiba uchaguzi Hamna tume huru 😃😃

Haki Huinua Taifa🇹🇿 ♻ 的头像
Haki Huinua Taifa🇹🇿 ♻1 年前

SIJATAKA HATA KUSKILIZA HADI MWISHO KIFUPI NAONA NI UJINGA UNAOFANYWA NA VIONGOZI WALIOIBA KURA SIO WALIO CHAGULIWA haiingii Akilini kuona mkuu wa nchi anasimama kusema upumbavu mkubwa namna hii kwani hawezi hata kutumia kamasi kufikiri?🥴 Bado tuko na haya MAOMBI. #TUTAANDAMANA

相关视频