正在加载视频...
视频加载失败
Aiseeeeee....!!
246,199 次观看 • 2 年前 •via X (Twitter)
10 条评论

Kwanza kutumia kinga ni kumtenga muathirika

Sasa kwanini anaamua kupendeza?, Kwa faida ya nani?? Aachane na make up jambo la kwanza

😂😂😂

Kwa hiyo hapo ndo kaproove au kutuonesha dawa!!..mwambie alete CTC card yake inayoonesha adherence, viral load na CD4 count ili tuone kama kweli ni mtumiaji mzuri.. Kwa vile kaamua kuja kwenye media, alete na hizo info kwenye media kuwasaidia wengine wenye hofu watumie dawa vema.

Mtoto kama upwiru umekukabaa abdalah kichwa wazi anataka hivi unaweza kukumbuka kondom kweli 😆😂

Unamsumbua dada wa watu anakukatalia unajiona una gundu kumbe anakuonea huruma....🥲

Hii video inafundisha vitu vingi mno

Most courageous woman alive. 👊🏽🖤

Mi ndio mana siwaamini hawa wanawake wenye tattoo 🙌🏾

Tattoo, Vipini, Bleach, Kikuku My Guy CONDOMIZE
相关视频
Sensitive content
Rachel pulen 🥵
Arzipperempvan
139,128 次观看 • 16 天前
Sensitive content
Malavika mohanan 🥵 Maldives treat 🔥
Billa_2
75,085 次观看 • 24 天前



