Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Ajali ya Kishua
46,006 Aufrufe • vor 22 Tagen •via X (Twitter)
24 Kommentare

Misifa tu, residential area anapaa 120? hapo akigonga unakuta mifupa tu. Hua sielewi watu wanaoendesha speed kubwa namna hiyo, wana haraka ya kwenda mbinguni?

Haya magari huku mnayaendesha kwa kasi sana

Hii itakua masaki njia ya kwenda shoppers jamaa kaon amalize kisahani mtaani bahati mbaya ukute gari sio lake 🤣

Chuma imepaaa kabisa kuna katani hazijaguswa kabisa apo

Chuma haina hata bima🙆🏾♂️🙆🏾♂️ Hii mwenye nayo anaweza kua Intensive Care Unity muda huu💔

Just because you drive a big car, doesnt mean you should drive like crazy

@munyamambogo 🥲🥲🥲 muhim hakuna mtu aliye poteza uhai Ila mwamba speed kali namna hiyi in a residential area ya nini sasa Boss ingia WhatsApp kidogo kuna picha nimekutumiya ..

Dereva hapa anawish gari nzima iwe kama huu upande wake

Dele yupo hapo chini hamini yan Ila yupo salama ni jambo zur🙌💔😀

Haraka ya wapi sasa

Masaki hapo

kachukua gari kwa mshikaji wake mara moja 😅

Mie watu kama hawa huwa siwasaidii Naipita tu ajali

T777 EUR gari bado mpya kabisa, kwa muonekano wa huyo dereva hii gari si yake....

@bot where is this and when

Gar mpyaaaaa kmkeee

GR SPORT 🙌🏻🙌🏻

Karibu aanguke

Ajali nzuri mashallah

Ingekuwa Subaru 💔

Dam za nan izo chin

Hao watu wawili aliyo wakosa 😂😂😂😂 na anapiga break kama L na ilihali watu walisha fika katikati

Hizi gari zinakichaa kibaya

Iyo kibati
