Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Akili kubwa
13,081 görüntüleme • 11 ay önce •via X (Twitter)
12 Yorum

Katika hii Clip Shee Malemba...yupo sawa

Mungu ipe haki Tanganyika,kisha uibariki

Dah Mungu ibariki Tanzania na simama upande wa haki kama ilivyo kawaida yako kuwa upande wa haki,tizama kuna mashekh waliuwawa Kwa risasi lakini waigizaji wa dini wanajitia upofu na uziwi nakupopoeka kama yamekatwa vichwa wakijipendekeza upande wa wawatawala

"..... Allah atuongoze, tunamtihani mkubwa sana....."

Ukweli siku zote haukai pamoja na uongo

KULIKUA NA UGAIDI WE SHEKHE UBABWA AMBAE UTAKUA UMETUMWA NA CDM KAA KIMYA HUJI KITU

Mungu Ipe Haki tanzania

KWANI WE SHEIKH UNAONGELEA HII OCT 29 ULIKUA NCHI GANI?⁉️🤐 HUJAZIONA HIZI AU UKEFUFUKA JANA⁉️👇

Masheikh ubwabwa wanatupeleka vibaya kwa sababu ya elimu ndogo ambayo ni rahisi kuwa manipulated na dini.

Asante kaka.

Huyu Sheikh Ni Mkenya Hana Lolote

WEWE SHEIKH WA MCHONGO TANGIA LINI RAISI DUNIANI YEYOTE AKAW HANA WASHAURI⁉️🤣 UMEKURUPUKA ACHA UJINGA
Benzer Videolar
Inahitaji uwe na akili kubwa sana kumuelewa huyu jamaa.
Twaha Mwaipaya
35,282 görüntüleme • 3 yıl önce
