Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Akili zimeanza kuwarudi😂
70,706 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
10 Kommentare

McMooooger !vor 1 Jahr
10k kwa siku bila sababu za msingi ?

Sekule ✌️vor 1 Jahr
10k kwa siku. 300k kwa mwezi ambao ni mshahara wa mtu anayekwenda kazini saa 12 asubuhi na kutoka saa 2 usiku. Ana mke na watoto wasiopungua wa5. Bado kuna ndugu wanamtegemea anawahudumia.

Singeli za Bongovor 1 Jahr
Halafu yeye anataka kupewa tu free bot, shenzi zao.

Chief mapesavor 1 Jahr
Apo sawa tutaelewana tu

Singeli za Bongovor 1 Jahr
Watajaa tu kwenye mfumo

Jayjohn31vor 1 Jahr
Mbona parefu Sanaa 🤔🤔

Jackie 🍭vor 1 Jahr
Wenzangu mnapewa 10k kwa siku😂💀

Singeli za Bongovor 1 Jahr
😂😂😂

narrow_bee_flyvor 1 Jahr
Yani nimlipe laki 3 kwa mwezi au? 😁

Singeli za Bongovor 1 Jahr
Ndiyo Akili Zao Hizo😂😂
