正在加载视频...

视频加载失败

@/aleksandarosa

228,192 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

Kami 的头像
Kami1 年前

calm aim final boss

Vance Ginn 的头像
Vance Ginn1 年前

Imagine a government where big government doesn't burden your future with excessive spending, taxes, and regulations. Here's how... 👇

Dylan 的头像
Dylan1 年前

@Bulldogz1x @vaxfn

snyps 的头像
snyps1 年前

@Chessgenie__ wir one day

キャベツ 的头像
キャベツ1 年前

7fell 的头像
7fell1 年前

扇子!

Jorge 的头像
Jorge1 年前

!sens

Cauan Batista 的头像
Cauan Batista1 年前

@Alexsmx__

Juggernaut 的头像
Juggernaut1 年前

Man’s vandal does not recoil

evaeuphemia 的头像
evaeuphemia1 年前

god

hug 的头像
hug1 年前

ejaculei

相关视频

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amesema Miaka minne ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan umeiwezesha Tanzania kuendelea kusalia na amani na utulivu, ikishuhudiwa uimarishaji mkubwa wa Demokrasia, utawala bora na Haki za binadamu pamoja na uendelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo iliyokuwa imeachwa na mtangulizi wake Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. Biteko amebainisha hayo leo Mei 29, 2025 kwaniaba ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, wakati akiwasilisha ripoti ya utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwa mwaka 2020/25 akimshukuru Rais Samia kwa ufuatiliaji wake na usimamizi mkubwa wa miradi. "Katika kipindi cha utekelezaji wa ilani sote tumeshuhudia mafanikio makubwa ikiwemo nchi yetu kuendelea kuwa na amani, kuwa na umoja na mshikamano pamoja na kuendelea kuyalinda mapinduzi matukufu ya Zanzibar na kudumisha muungano wetu. Serikali pia imeendelea kuimarisha demokrasia,utawala bora na haki za binadamu kwa kuchukua hatua mbalimbali ikiwemo kuondoa zuio la mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa na hivyo kuimarisha vyombo vya habari na kuongeza haki ya kujieleza miongoni mwa wananchi." Amesema Dkt. Biteko. Katika maelezo yake Dkt. Biteko amebainisha kuwa mafanikio hayo yametokana na utekelezaji wa falsafa ya Rais Samia ya 4R ambayo ameeleza kuwa imekuwa dira na nguzo muhimu ya kisera katika kulijenga Taifa lenye mshikamano, haki na maendeleo endelevu kwa misingi ya Demokrasia na ushirikishwaji wa wananchi wote.

Jambo TV

16,425 次观看 • 1 年前