Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Alhamdulillah 🎉🔥👊🚀 Jaiz Bank Plc.

12,858 Aufrufe • vor 2 Monaten •via X (Twitter)

0 Kommentare

Keine Kommentare verfügbar

Kommentare vom Original-Post werden hier angezeigt

Ähnliche Videos

Mapema leo akaunti yangu ya CRDB Bank PLC ilitumiwa Tsh 100,000 na mmoja wa wateja wangu wa kazi zangu za freelancing. Masaa machache yaliyofuatia nikagundua almost Tsh 9000 imeondolewa kwenye akaunti yangu ya CRDB Bank PLC Nilivyoangalia bank statement nikagundua kuna muamala wa Tsh 7000 umefanyika kwenye akaunti yangu, muamala ambao binafsi sikuufanya. Wasiwasi wangu nilihisi huenda kuna mtu ana access na akaunti yangu ya CRDB Bank PLC Hivyo ikabidi niwapigie CRDB Bank PLC kufahamu zaidi Cha kushangaza majibu niliyopewa na CRDB Bank PLC ni 1. Muamala niliokatwa leo ni kutokana na muamala nilioufanya Miezi minne nyuma{25/7/2023}, system ilisahau kunikata. 2.Crdb wamesema nimetoa Tsh 250k tar 25/7/2023, salio ambalo halipo kwenye bank statement yangu. Wasiwasi wangu kwenye maelezo ya CRDB Bank PLC ni 1.Inawezekanaje makato ya mwezi wa 7 yanafanyika mwezi wa 11 kwenye akaunti active. 2.Inawezekanaje mtu akatwe hela kwenye muamala ambao hauko kwenye bank statement 3.Inawezekanaje mtoa huduma kwa wateja anakata simu ya mteja ? Frame no 1 nimeweka screenshot ya miamala 10 ya mwisho, frame 2 nimeweka historia ya miamala nimefanya tarehe 25/7/2023 na frame ya 3nimeweka record ya mazungumzo na mtoa huduma wao. Hii ni experience yangu ya kwanza nimeipata na CRDB Bank PLC na imenipa wasiwasi wa kutumia huduma zao. Incase umeweka hela zako kwenye hizi bank hakikisha unachunguza miamala yako mara kwa mara. cc Abdulmajid Nsekela

Moments with Mafole Baraka

240,704 Aufrufe • vor 2 Jahren