Loading video...
Video Failed to Load
Aliposema Sheikh
34,080 views • 1 year ago •via X (Twitter)
11 Comments

Latto 𝕏1 year ago
Alikiba, Kamjibu sheikh, Baada ya kusema kuwa Wasanii na watu maarufu wengi hawafuturishi, Bali wanalisha watu... Video kwa Comments 👇

Latto 𝕏1 year ago
Alikiba

king j forever1 year ago
Shekhe kaitaja kitomoto nimesisimka 🤪🤪

Paschal Karokola1 year ago
Maskini wanakuwaga na gubu sana

NYANI MZEE🦍🦍1 year ago
Nimeskia app kitimoto kipo kwenye Friji 😂😂😂😂 Cha nini tena icho?

Jamesistry Kagulu1 year ago
Mimi sio mwislam lkn katika ili shekhe kasema ukwel mtupu.

PM Sebastian1 year ago
Saa mbovu imeongea ukweli leo 🤔😳🙄🤣😂

ibn Bahmiran1 year ago
Swadakta…. Maneno mswaki

Auz Almasi1 year ago
Maboga, mihogo, viazi ni vyakula vizuri kwa Afya ya mwili, endekezeni kuku na manyama mkifikiri ndio vya hali ya juu. Kufunga nibkati ya mtu na muumba wake, sio kujionesha kwa wanadamu wenzako.

Unc Jerome 👤1 year ago
shekh yupo Accurate sana huyu

Augustino1 year ago
Mbna kama kamtaja my wetu apo 🤔
