Loading video...
Video Failed to Load
Alisema ananyumba ya Bilioni 3๐ ๐ ๐ Oyaaa
29,535 views โข 2 years ago โขvia X (Twitter)
14 Comments

Bwana Bwana!! Wiki zilizopita kulikuwa na shida, ambapo Mwijaku aliandika na kumkaashif MASOOD! Then jana akaja kuomba msamaha ๐ ๐ KUMBE, Masood ali mshtaki MWIJAKU na alitakiwa amlipe 5 Billion๐๐๐ Oyaaa ๐๐๐๐ Video kwa Comments๐๐พ

Msikilize MWANASHERIA wa MASOOD KIPANYA ๐

Sakata zima la Kilichotokea ๐๐พ

Mwijaku alivyoomba msamaha Jana

Huyu mwanasheria anahasira sana na mwijaku ๐ ๐ ๐ ๐ ๐

๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ @MwijakuBurton mpumbavu wewe leo umeingia cha kike kwa Kiki zako za kifala...lipa billion 5 zetu nyani wewe...we si unajifanyaga unaweza kuongea chochote nchi hii kisa ni chawa wa gavoo..umbwa wee lipa billion 5 zetu au tuuze kile kinyumba chako cha milioni 30..pumbav

Jamaa kapatikqna manyoko๐๐๐

- Moonlight

๐

Aanzeew uza ilenyumba

Ahaha๐คฃ๐คฃ kaingia mgodi wa jehanamu

Alooo, kuna kale ka wimbo kanaimba AMEYATIMBAAA ๐๐

Aiseeeh๐๐๐

Tuchunge maneno yetu
