Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Alisema ananyumba ya Bilioni 3😅😅😅 Oyaaa
29,535 просмотров • 2 лет назад •via X (Twitter)
Комментарии: 14

Bwana Bwana!! Wiki zilizopita kulikuwa na shida, ambapo Mwijaku aliandika na kumkaashif MASOOD! Then jana akaja kuomba msamaha 😅😅 KUMBE, Masood ali mshtaki MWIJAKU na alitakiwa amlipe 5 Billion😂😂😂 Oyaaa 😂😂😂😂 Video kwa Comments👇🏾

Msikilize MWANASHERIA wa MASOOD KIPANYA 😅

Sakata zima la Kilichotokea 👇🏾

Mwijaku alivyoomba msamaha Jana

Huyu mwanasheria anahasira sana na mwijaku 😅😅😅😅😅

🤣🤣🤣🤣 @MwijakuBurton mpumbavu wewe leo umeingia cha kike kwa Kiki zako za kifala...lipa billion 5 zetu nyani wewe...we si unajifanyaga unaweza kuongea chochote nchi hii kisa ni chawa wa gavoo..umbwa wee lipa billion 5 zetu au tuuze kile kinyumba chako cha milioni 30..pumbav

Jamaa kapatikqna manyoko😂😂😂

- Moonlight

😄

Aanzeew uza ilenyumba

Ahaha🤣🤣 kaingia mgodi wa jehanamu

Alooo, kuna kale ka wimbo kanaimba AMEYATIMBAAA 😁😁

Aiseeeh😂😂😂

Tuchunge maneno yetu
