Loading video...
Video Failed to Load
Alivyojibiwa na Rais..
35,741 views • 1 year ago •via X (Twitter)
11 Comments

Sikiliza Maombi ya mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina, Mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kisha sikiliza alivyojibiwa! Video kwa Comments 👇

Mpina..

Waziri Bashe naye....

Hapa hatuna Rais aisee

Nlitaka kuandika kitu ila nkakumbuka bado nategemewa na taifa

Ila Huyu mama 😃😃Huoni kama anajipunguzia kura za ndani

Hotuba imejaa michambo tu,, Kuna tatzo kubwa sana

Anaonyesha wazi kabisa kutokumpenda MPINA

Mpina ktk uwasilishaji wke amewasilisha vzr sna mpk kupongeza, na imepelekea shangwe sana kut kwa wananchi mama ni kama alienda na chuki zke na alijindaa kumfedhehesha mpna Lkn mwananchi hawajamuelewa mama na ndio mana hawajamshangilia Bsh kl anachosema wananchi wanakataa 2

mh. Rais shikamoo ,Mbunge asiposema hapo kwako atasema wapi? na ndio nafasi pekee amepata kukutana nawe ,huenda kweli zinafanyiwa kazi hizo changamoto lakini zinafanywa pole pole sana na watendaji wako wengine na ndio maana Mbunge kwa heshima ameona akuombe wewe ili utoe nguvu

🤣

