Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Aliyetengeneza hii miyeyusho sana, 😃😃😬

22,497 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)

Комментарии: 10

Фото профиля 🐝🐝🐝 Anakumbatiwa na 🦁🦁
🐝🐝🐝 Anakumbatiwa na 🦁🦁1 год назад

Huyo jamaa ana kipaji iko wala siyo kwamba imetengenezwa, aliwahi kuhojiwa na Ayo TV anaongea kawaida sema iko ni kipaji cha kuigiza sauti ya watoto Kuna moja aliwaekitia wateja aliokuwa amewabeba kwenye Bajaj ilikuwa usiku, wakamkimbia bila kumlipa 😂

Фото профиля Savage
Savage1 год назад

Mwamba ni talented sana, anawezaga kuigiza sauti ya kitoto, hiyo haijatengenezwa ni Real kbs.

Фото профиля Eddo Lalika
Eddo Lalika1 год назад

Ndio sauti yake anko huyu mwamba

Фото профиля WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD1 год назад

Ndio sauti yake jamaa😂😂

Фото профиля Adventure-360
Adventure-3601 год назад

Mmh 😃

Фото профиля saba6
saba61 год назад

😂 huyu jamaa nikiwahi panda bajaji yake...nilistuka

Фото профиля Man2Man
Man2Man1 год назад

😂😂😂

Фото профиля Romarinho
Romarinho1 год назад

😀😀😀

Фото профиля Mr C69
Mr C691 год назад

😁😁

Фото профиля Peter
Peter1 год назад

😂😂😂

Похожие видео