正在加载视频...
视频加载失败
Aloo hii ni nyundo 😂😂
22,173 次观看 • 2 年前 •via X (Twitter)
10 条评论

fredy@mitumba🇹🇿🇰🇪🇺🇬2 年前
Uhalisia kaka, Bora tubaki na tenzi za rohoni tu kaka

Mkanaani 🇮🇱🇹🇿2 年前
Naam

V🌸2 年前
Nyundo kweli kweli... alooo Swali ni anaimbiwa nani na nani anatukuzwa.

Mkanaani 🇮🇱🇹🇿2 年前
Dogo kawapa Injili

Leila hearts 🇹🇿2 年前
Wanashindana na viewers 😃

Mkanaani 🇮🇱🇹🇿2 年前
eehh 😂

Msafiri, Erick Charles2 年前
Saa nyingine Habari njema haipo ipasavyo, tunabaki na midundo tu! 🙌

Goodman2 年前
Ukweli huu, kuna ndg alikuwa analaumu wapendwa hawasubscribe YouTube channel yake had akanuna

Chequavarealer.2 年前
Na anajua kua akisema hawatamuita tena maana anawachafua

mrmiddleman2 年前
Nowadays hata hiyo habari njema hakuna ., imekuwa ni sehemu ya fashion show na kuwa motivate tuuh
