Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

120,406 views โ€ข 2 years ago โ€ขvia X (Twitter)

10 Comments

Nas's profile picture
Nas2 years ago

๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…Mablack america kutoka mbeya na tandahimba

Eli Njex's profile picture
Eli Njex2 years ago

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hawamjui mond hawa wakiachia tu wimbo siku hio hio unashangaa wcb all stars wameachia wimbo wa pamoja

Mjukuu Wa Bibi๐ŸŒพ๐ŸŒพ's profile picture
Mjukuu Wa Bibi๐ŸŒพ๐ŸŒพ2 years ago

Yoooh yooh na mafaki faki mengi hakuna kazi

Mtoto wa Mama๐Ÿ‘ถ's profile picture
Mtoto wa Mama๐Ÿ‘ถ2 years ago

Yooh yooh faki faki ,we coming faki faki kibao kmk ๐Ÿ˜‚๐Ÿšฎ

#NAPENDEZA๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ's profile picture
#NAPENDEZA๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ2 years ago

Hiki kitumbo cha hamonaiza๐Ÿ˜‚

hussein's profile picture
hussein2 years ago

Si waongee tu kiswahili ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Ms Bee๐ŸŒน's profile picture
Ms Bee๐ŸŒน2 years ago

Harmo๐Ÿ˜

KilAh's profile picture
KilAh2 years ago

Rayvany anafikiri kusem F word ndo kuongea kingereza ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Dr. Meku ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ's profile picture
Dr. Meku ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ2 years ago

Wote hawa mimi ni shabiki wao, ila, hawana u-legend bado, hata robo ya kuufikia u-legend bado. Wapige kaazi, wataifikia hiyo level muda ukifika

Onesmo Shoo's profile picture
Onesmo Shoo2 years ago

Hela ni nzuri aseeeeh ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ

Related Videos