Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Alooooooohhhhhh 🔥
120,406 görüntüleme • 2 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

Nas2 yıl önce
😅😅😅Mablack america kutoka mbeya na tandahimba

Eli Njex2 yıl önce
😂😂😂 hawamjui mond hawa wakiachia tu wimbo siku hio hio unashangaa wcb all stars wameachia wimbo wa pamoja

Mjukuu Wa Bibi🌾🌾2 yıl önce
Yoooh yooh na mafaki faki mengi hakuna kazi

Mtoto wa Mama👶2 yıl önce
Yooh yooh faki faki ,we coming faki faki kibao kmk 😂🚮

#NAPENDEZA🇹🇿2 yıl önce
Hiki kitumbo cha hamonaiza😂

hussein2 yıl önce
Si waongee tu kiswahili 🤣🤣🤣

Ms Bee🌹2 yıl önce
Harmo😍

KilAh2 yıl önce
Rayvany anafikiri kusem F word ndo kuongea kingereza 😂😂

Dr. Meku 🇿🇼2 yıl önce
Wote hawa mimi ni shabiki wao, ila, hawana u-legend bado, hata robo ya kuufikia u-legend bado. Wapige kaazi, wataifikia hiyo level muda ukifika

Onesmo Shoo2 yıl önce
Hela ni nzuri aseeeeh 💥💥💥

