Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Amenunua simu lakini hawezi access Google back up ju verification code ya Gmail inatumwa kwa number ya Telkom na ilipotea

175,363 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)

Комментарии: 11

Фото профиля Just Kui ♏
Just Kui ♏1 год назад

How long will this go on 😂😂😂😂

Фото профиля mokorino
mokorino1 год назад

😂😂

Фото профиля Travala.com 🏨 ✈️
Travala.com 🏨 ✈️4 лет назад

This one's for the Crypto Whales ⬇️ NEW exclusive & luxurious experiences have been added to Apply today & #TravelUnlikeAnyOther with your favorite cryptocurrency.

Фото профиля Arap K95
Arap K951 год назад

Unapigia carrier wanakwambia hio line tushauza the only way ni we kuongea na owner Kupiga ni cucu ako transmara, uko za "line ilkua yngu kitambo na kuna code inatumwa si unitumie" Bckgrnd unaskia mjukuu akimwambia "Til simoit, swapaeg chomi Mulot" Woooii binance yangu wee🙆🏿‍♂️

Фото профиля OK_evin!
OK_evin!1 год назад

Siku moja ataingia twitter async contacts akujoin kwa hii sherehe. 💀😂

Фото профиля Hillary Odinga
Hillary Odinga1 год назад

Multibet ya shetani kila corner,😂😂

Фото профиля Sajid abu Sajid
Sajid abu Sajid1 год назад

Ii inafaa ikuwe mini-sode pale kwa njoro wa uber 😂😂

Фото профиля 𝐖𝐞𝐬𝐥𝐞𝐲 𝐊𝐢𝐛𝐚𝐧𝐝𝐞
𝐖𝐞𝐬𝐥𝐞𝐲 𝐊𝐢𝐛𝐚𝐧𝐝𝐞1 год назад

😂

Фото профиля Kangwana Oyaro
Kangwana Oyaro1 год назад

🤣🤣🤣🤣

Фото профиля Bi
Bi1 год назад

Kumbe Mungu wa Wakorino ndiye Mungu wa ukweli

Фото профиля 𝘔𝘶𝘵𝘶𝘯𝘨𝘢
𝘔𝘶𝘵𝘶𝘯𝘨𝘢1 год назад

This has to be updated every two weeks bana 🤣

Похожие видео

Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega (MB), amesema kuwa matumizi ya kijamii na ya kitalii ya Daraja la Kigongo–Busisi, ikiwemo harusi, kurekodi nyimbo pamoja na utaratibu wa malipo kwa magari ya kibiashara, yatategemea kibali maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Akizungumza leo Juni 08, 2025 katika hafla ya kutoa taarifa ya utekelezaji wa miradi ya wizara hiyo ndani ya miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita, Waziri Ulega amesema baadhi ya wananchi tayari wameonyesha nia ya kulitumia daraja hilo kwa shughuli mbalimbali, lakini kabla ya vibali kutolewa, lazima kwanza ipatikane ridhaa ya Rais. “Matumizi mengine ikiwa ni ya utalii na watani zangu Wasukuma wanaweza kutaka kuja kufanya harusi zao, kurekodi kwaya, kaswida na mambo mengine ya kijamii, kimsingi sisi tumekasimiwa mamlaka na Mheshimiwa Rais, kwa hiyo mimi ninayo kazi ya kumuomba na kumjulisha kwamba wapo Watanzania wanaotaka kuja kufanya mpaka picha za harusi hapa.” “Kabla ya kutoa vibali, tutamshirikisha Rais, na tukipewa kibali sisi maana yake tutatumia njia ya kuwaambia Watanzania wote kuhusu utaratibu maalum kwa ajili ya usalama wa watu, watumiaji hao, kwa sababu hapa malori yatakuwa yanapita tena kwa kasi.” Tumeshaanza kupokea maoni mfano kutoka kwa baadhi ya wabunge wanasema wananchi wasilipishwe lakini malori ya biashara lazima yachangie kwa sababu hapa panahitajika hapa maintanance, lakini jambo hili halijafika mwisho, linahitaji mjadala na linahitaji kuridhiwa na litakaporidhiwa tutatangaza hadharani.”— Ulega #MillardAyoUPDATES

millardayo

36,037 просмотров • 1 год назад