Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Amiri Jeshi Mkuu | Mama | Mfariji wa Taifa
338,701 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 9

Huyu hapa kiongozi bora wa muda wote, alikuwa kiongozi mtendaji na mzalendo wa kweli, aliwajali sana wananchi wake kwa kila kitu alitanguliza maslahi ya nchi na wananchi wake, alikuwa mwenye maono, mipango mizuri na misimamo dhabiti, daima tutamkumbuka.

Sio Mfariji, ni mbinafsi, mwenye Dharau na Katili kuliko, Uhai wa watu wetu sio kipaumbele chake ! Hastahili kuwa Rais hata Kwa sekunde, Hongera nyingi kwake ni Kwa sababu ya Faida ya ujinga wa wanaowaongoza(wananchi) ! Ipo siku na si nyingi Kiama kitamkuta yeye na familia yake

Nyie machawa mwacheni mama wa watu afanye kazi yake mnamuharibia kwa sifa za kijinga, tafuteni shughuli za kufanya

hakuna mtu anahitaji faraja watu wanahitaji uwajibikaji Faraja haisaidii kitu

Taifa la wapi analolifariji?

Mnatumia nguvu kupush sifa zake, kizuri kinajionyesha chenyewe siku zote Rest easy, Uncle Magufuli 🤧

Huyu alivyoenda kula bata huku wananchi wamefukiwa kwenye kifusi?!?

Boss kubwa

Mfariji mwema Mama Samia
