Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Ana Point Ya kuzingatiwa
17,563 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
11 Kommentare

Asee,, huu mwaka wa uchaguzi naona vichwa vya wazee wetu vimefunguka kwa speed sana

take the journey

Uchaguzi umekaribia

wachache wanao elewa tuntaka nn ndo akina Lusinde🤝

Yaan kwenye udereva gari ikizima tu umeshafeli asee no double chance mzee!!

Akili kumbe huwa zimo.

Tulishauri haya mambo lakini serikali hii ni sikio la kufa ambalo halisikii dawa .wacha sasa kiwarambe ccm will fall competition

THIS IS BECAUSE OF ELECTION FORCE,WE'RE GOING TO SEE EVERY TYPE OF COLOUR THIS YEAR FROM OUR LEADERS

Well said

Kwani kwenye cheti wanaangalia ufaulu au nini? And then kama ni ufaulu why wanapewa tena mtihani? Jibu ni kupima uwezo wake je chet chake au ufaulu wake unasadifu maarifa yake, coz ikiwa hivyo kukagua cheti tu na kumuajiri mtu, wengine wanagushi vyeti

Hana point anaomba kura uyo
