Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Anayoyasema shekhe ya ukweli wadau?
133,169 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 10

Kama huyu mama ni neema basi aliyemleta sio mungu Mungu sio muuaji Mungu sio mwizi kura Mungu hapendi watu kutekwa Mungu hapendi kuuza Bandari zetu Mungu hafarakanishi vyama Mungu ni anapenda watu wakweli

Uvivu tu wa kuswalii

NEW OFFICIAL COLLABORATION ALERT! Get your PERSONALIZED @Godzilla_Toho Japanese hanko stamps at for yourself, friends and family! #fanco #godzilla #GodzillaMinusOne 👉

Hamna mamna ya kurudisha mbs zangu nlizotumia kusikiliza huu upuzi

Duh! Sheikh una maneno ya kike sana, tangaza uislam achana na siasa.

Huyu mduanz tu Han lolote

Ukweli unakuja pale ambapo mapdri walikaa kimya kipindi cha Magu

Kigezo cha dini kumchukia mama sheikh kakurupuka si kweli

Usiwaamini ma shekhe wa kisasa wapo for interest

Duh sitii neno🤔🤫..
