Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Angela Kidjo❤️
14,153 просмотров • 11 месяцев назад •via X (Twitter)
Комментарии: 9

Mtu anatoa EP nyimbo zote amemuimbia Samuya na hajapata ata show moja ya uchaguzi

kaongea ukweli mtupu🙌

Yupo sahihi sana, hawa machawa wetu wanatakiwa kupata somo hapa

Kuna walioandika kwa awamu ya 5 leo wamebaki hawana ishu

Baba ake alikuwa mbele ya mda

Nikaitafute hii Podcast sasa

"Watu wa band na tishet zao za kijana, walisahau pia kuwa nao wapo ndan"... @dizastavina .. acha waendelee kukaa kimya na kuwa upande wa wakandamizaj ila huu mfumo wanaouendesha Kuna siku utawaendesha wao au vizaz vyao au wote

Hawa wetu wanachojali ni kupata pesa za kampeni Kila baada ya miaka mi5

As far as I know wasanii wengi wa Bongo wana O level as their highest education.. those mofos couldn’t reason shit to save their lives even if held at gun points. Y’all gave fame to the wrongest people
