Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Anyway 🚶🏿♀️
96,955 görüntüleme • 2 yıl önce •via X (Twitter)
11 Yorum

Ndugai aliongea jambo la muhimu na la msingi sana lakini kuna watu walimuona kama anasaliti chama. Anyways sijui nilitaka kusemaje 😂 ngoja niwashe jiko la mkaa nipike zangu ugali dagaa njaa ni kali

@Sir_Almando Usisahau pilipili

- All I Knew

Hii Inanifikirisha Sana Hii...

Mno

Aliona mbali sana

Mno

Ccm ukiongea jambo la maana unafukuzwa, wanakumbatia ujinga ili waendelee kututawala

Yaani ogopa mpaka mhusika wa kwenye mfumo wa utawala alishtuka.. Ndugai alisema kuna siku nchi itauzwa hii😂

Kilichomponza ni hiyo kauli hapoa 2025 mtaamua 🤔🤔🤔 maoni yake wala hayakua na shida kwa serikali kwa sababu ni sikivu sana sema alisahau kuwa kuna serikali sikivu na watu wanaongoza serikali sikivu, hivo alichanganya maoni ndo kosa lake hapo.

Miriam unatumiwa na mabeberu kukwamisha maendeleo na kazi kubwa anayoifanya mama 😄
